kichakorojack
Member
- Sep 19, 2011
- 78
- 12
Kuna kipindi ssra walitangaza nafasi za kazi ilikuwa august, hivi wameshafanya shortlisting? any idea please assist.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu SSRA walishaita, inategemea wewe uliomba post gani mfano watu walioomba MIS Officer walifanya interview ya kwanza 19 mwezi huu. Afu interview ya pili ikwafanyika tarehe 21.
Hahahahaaa... tena kaliwa na mwewe au kichecheDuuuuh..... ukiona manyoya....., ujue keshaliwa...!
Mkuu pale pana ukiritimba nafasi zilizotangazwa kulikuwa na watu wa ndani so walitangaza as formality..hawana jipya mishahara yao midogo,kununua corola ufanye kazi bila tumizi kwa miaka 3 bado kujenga.