Wakuu naomba kuuliza kama una mkataba wa kazi ulopewa na mwajiri hivi akisema asikulipe mshahara kwa kipindi hiki sheria inasemaje.
Naomba kujuzwa wakuu, maana wengine tupo private sector na waajiri wanasema hawana pesa za kulipa kipindi hiki. Sasa nataka kufahamishwa hivi sheria ikoje Wakuu.
Mimi najua kuna mkataba wa kudumu na ule wa kawaida yaani miezi mwili au miezi sita ,hii ya kudumu mara nyingi serikali ndio wanakupangia ukifikisha miaka 55 au 60 wanakulipa kiinua mgongo lakini hii ya miezi michache mara nyingi wanakupa mshahara wako unachapa mwendo