KYANYINIMARAIGA
Senior Member
- Oct 21, 2016
- 192
- 126
Ukishakuwa mgonjwa wa kisukari sahau kabisa habari ya sukari kwenye vinywaji,matunda yenye sukari nyingi pamoja na vyakula vya wangaHivi kahawa yenye mchanganyiko wa sukari na maziwa (3in1) sugar 15 g per saving inafaa kwa mgonjwa wa Diabete type 2.na kama inafaa mgonjwa wa aina hiyo anashauriwa aitumie mara nga
pi kwa siku?
Vipi mkuu mbona unaguna ?Mmmmmmmm
Acha uongo!!Ukishakuwa mgonjwa wa kisukari sahau kabisa habari ya sukari kwenye vinywaji,matunda yenye sukari nyingi pamoja na vyakula vya wanga
Najisikia fahari kuwa MTANZANIA
Ahsante.je mtu wa kawaida asiyeugua ugonjwa huo wa sukari anahitaji gram ngapi za sukari kwa siku(assume ana mazoezi ya kawaida .)Ukishakuwa mgonjwa wa kisukari sahau kabisa habari ya sukari kwenye vinywaji,matunda yenye sukari nyingi pamoja na vyakula vya wanga
Najisikia fahari kuwa MTANZANIA
Vyakula unavyokula venye wanga na matunda yana sukari ya kutosha kuupa nishati mwili wako.sikari ya viwandani si nzuri sana ktk miili yetuAhsante.je mtu wa kawaida asiyeugua ugonjwa huo wa sukari anahitaji gram ngapi za sukari kwa siku(assume ana mazoezi ya kawaida .)
Wa kujitakia kivipi?Naombea na najiepusha nisipate huo ugonwja wa kujitakia