Hivi kweli kocha anayetafuta ubingwa wa sports pesa anatumia michuano hiyo kama trial match kwa shopping ya defenders na attackers ama kweli Manara na profesa wake Aussems!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna kocha paleKocha mpuuzi ameanza na low speed
Alipoona anenda kupingwa akabadili bila utarabu gia zikapandana machine chali.
Waliondoa makocha waliowapa ubingwa wakaleta garasa kisa kuna watu wanataka kupiga helaBeberu ni bora kocha siyo kocha bora
Ndiyo issue zetu Bongo. Mchwa wanatafuna hela ya Mo Dewji. Wakale wapi?Waliondoa makocha waliowapa ubingwa wakaleta garasa kisa kuna watu wanataka kupiga hela
Sent using Jamii Forums mobile app