Hamna kocha paleKocha mpuuzi ameanza na low speed
Alipoona anenda kupingwa akabadili bila utarabu gia zikapandana machine chali.
Waliondoa makocha waliowapa ubingwa wakaleta garasa kisa kuna watu wanataka kupiga helaBeberu ni bora kocha siyo kocha bora
Ndiyo issue zetu Bongo. Mchwa wanatafuna hela ya Mo Dewji. Wakale wapi?Waliondoa makocha waliowapa ubingwa wakaleta garasa kisa kuna watu wanataka kupiga hela
Sent using Jamii Forums mobile app