Je, taifa stars inaweza kuendelea na mashindano ya AFCON kwa msimamo huu? Bado tuna mechi mbili

Je, taifa stars inaweza kuendelea na mashindano ya AFCON kwa msimamo huu? Bado tuna mechi mbili

1. Tunisia P 10
2. E'Guine P 6
3. Tanzania P 4
4. Libya P 3
 
Tukiwatwanga Guinea na Libya tutakuwa na point 10. Guinea akishinda mechi yake moja baada ya kupoteza yetu atakuwa na point 9.

Inabidi tupige mabao mengi ili mambo ya GD yakae sawa huko mbele. Tunaweza!? I doubt.
 
Hata hao wengine nao wanaomba na sisi tupoteze. Shida maombi yepi yatapokelewa? Team ipambane kwa nguvu zote basi mengine majaaliwa.
 
Nachokumbuka hao Guinea tumesha cheza nao game ya kwanza tukafa 2-1 kwa mkapa tukashinda 2-1 tumebaki na game 2 tu na Libya nyumbani na ugenini
Braza unafuatilia mpira kweli? Libya tumecheza nae tayari ugenini na E Guinea tumecheza nao kwa mkapa. Tumebakiza mechi ya ugenini na Guinea na Libya anakuja kwa Mkapa.
 
Braza unafuatilia mpira kweli? Libya tumecheza nae tayari ugenini na E Guinea tumecheza nao kwa mkapa. Tumebakiza mechi ya ugenini na Guinea na Libya anakuja kwa Mkapa.
🤣🤣 kweli mkuu nilichanganya madesa shukrani kwa kunikumbusha
 
Tunaweza kufuzu tukipata draw Guinea ugenini..Libya hawezi kumfunga Tunisia walipigwa nne mechi ya kwanza..Tunakuja kumfunga Libya kwa Mkapa alafu Guinea hawezi kumfunga Tunisia kwao maana magiant wanalinda FIFA rankings simple...
 
Nafasi bado tunayo..

Mechi inayofata ni dhidi ya EQ GUINEA ambayo ndio imeshika nafasi yetu.

Inabidi kwenye hz mechi 2 zilizobaki tupate point 6 kwa uhakika wa kufuzu (kuwin zote)

Au kupata point 4 ili kama Tunisia atamfunga EQG tufuzu.
 
Kiuhalisia hakuna timu ya kuifunga Tunisia,inabidi tupambane tusipoteze game na EG.kisha tumfunge Libya nyumbani,hii Sina shaka kitafanyika chochote atafungwa tu.
 
Wabongo tunapenda mpira lakini mpira hautupendi,matokeo yake tumeishia kuwa ma Sheikh Yahaya.
 
Mlibebwa na Uganda msimu uliopita mnazani na sasahivi Mambo mepesi hvyo.
 
Back
Top Bottom