Je, Tanganyika inaweza kuendelea bila Zanzibar, and Vice versa

Je, Tanganyika inaweza kuendelea bila Zanzibar, and Vice versa

Yoyote hapo inaweza kuendelea bila mwenzake muhimu uzalendo na kujituma.

Tanganyika ina % kubwa kuliko Zenji sababu vitu muhimu vyote tunavyo vya kutoshaa Water bodies, misitu, Ardhi, madini, gas na rasilimali watu.
 
Tanganyika inaweza kuendelea bila Zanzibar!
Au
Zanzibar inaweza kuendelea bila Tanganyika!
zanzibar ndio inatamani sana iachwe ijisimamie mambo yake yote bila tanganyika kujiingiza huko. Wanaona kama tanganyika inawabana. Kuna chama cha siasa kina slogan inasomeka zanzibar huru. Hicho chama kikishika dola kitaiondoa zanzibar kwenye muungano huu. Tangu awali viongozi wa hicho chama wanataka kuvunja muungano. Zanzibar kitambo sana inataka iwe huru ijiamulie mambo yake kama kujiunga na jumuiya za kimataifa kama OIC na zingine zilizopo. Zanzibar ina unasaba na nchi za uarabuni na huko ndio chaguo lake la kwanza kukimbilia huko kuomba kusaidiwa. Zanzibar imekuwa ikilialia iwe mwanachama wa FIFA na mashirikisho mengine ya kimataifa bila tanganyika. Zanzibar ndio inayojiona itapata maendeleo zaidi nje na muungano wake na tanganyika
 
Zanzibar na Tanganyika zote zinaweza kuendelea kivyake, Tatizo ni UZALENDO wa kweli. Maana wengi wanatetea Maslahi Binafsi siyo Ya Nchi
 
Kwani tanganyika mpaka kufikia hii lro kafaidika na kipi kutoka kisiwani?
 
Yoyote hapo inaweza kuendelea bila mwenzake muhimu uzalendo na kujituma.

Tanganyika ina % kubwa kuliko Zenji sababu vitu muhimu vyote tunavyo vya kutoshaa Water bodies, misitu, Ardhi, madini, gas na rasilimali watu.
Hapo kwenye watu hapo, ndiyo shida inapoanza,,,
Ndiyo mana hata nawe ukaitaja mwishoni...
 
Back
Top Bottom