mrengo wa kushoto
Senior Member
- Sep 27, 2015
- 100
- 185
Sheria iko wazi katika kulinda maslahi ya mtoto na mama kuhusiana na suala la malezi ili kuhakikisha mama haelemewi na mzigo na hii ni kama ifutavyo:Kama tunavyo fahamu kuna wanaume wengi hukimbia majukumu yanayo endana na kuitwa baba huku mtaani akijisifu yeye ni kidume na kumuachia mwanamke mzigo wote wa matunzo ya mtoto.je kuwakata hela ya matunzo ya mtoto moja kwa moja kutoka kwenye mshahara itapunguza wimbi la wanaume wanao walaghai kisha kuwatelekeza wanawake baada ya kupata mimba zao??
Ili tuzidi kutegesheana mimba bila mahesabuKama tunavyo fahamu kuna wanaume wengi hukimbia majukumu yanayo endana na kuitwa baba huku mtaani akijisifu yeye ni kidume na kumuachia mwanamke mzigo wote wa matunzo ya mtoto.je kuwakata hela ya matunzo ya mtoto moja kwa moja kutoka kwenye mshahara itapunguza wimbi la wanaume wanao walaghai kisha kuwatelekeza wanawake baada ya kupata mimba zao??