FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Hesabu umepiga wewe ukaja na jibu kisha unatuuliza uhalisia wake. Hata yeyote anaweza fyatuka akasema hauko sahihi kiasi kilichookolewa ni 1.6 trilioni bila maelezo yoyote na hataweza kuhojiwa. Nyinyi ndio mlikuwa mnakunywa uji mwingi shuleNimepiga hesabu za haraka haraka, kwa makadirio, Tanzania imeshaokoa shs. Trillion 3 ambazo zingepotea kutokana na hasara inayoletwa na foleni, tangu kufunguliwa kwa Ubungo flyover.
Je, kiwango hiki cha pesa kina uhalisia?
heheheHesabu umepiga wewe ukaja na jibu kisha unatuuliza uhalisia wake. Hata yeyote anaweza fyatuka akasema hauko sahihi kiasi kilichookolewa ni 1.6 trilioni bila maelezo yoyote na hataweza kuhoji. Nyinyi ndio mlikuwa mnakunywa uji mwingi shule
hahahahaZiko wapi?
Umepigaje hizi hesabu?na hizo pesa ziko wapiNimepiga hesabu za haraka haraka, kwa makadirio, Tanzania imeshaokoa shs. Trillion 3 ambazo zingepotea kutokana na hasara inayoletwa na foleni, tangu kufunguliwa kwa Ubungo flyover.
Je, kiwango hiki cha pesa kina uhalisia?
Umepigaje hizi hesabu?na hizo pesa ziko wapi
Toa maelezo ya hizo hesabu za haraka haraka. Bango lako linakosa facts hivyo inakuwa ngumu kujadili. 3 trillion imeokolewa vipi, bila maelezo yenye vielelezo unakuwa unapiga zumari mkuu.
Hesabu umepiga wewe ukaja na jibu kisha unatuuliza uhalisia wake. Hata yeyote anaweza fyatuka akasema hauko sahihi kiasi kilichookolewa ni 1.6 trilioni bila maelezo yoyote na hataweza kuhojiwa. Nyinyi ndio mlikuwa mnakunywa uji mwingi shule
Zipo kwenye mzunguko...Ziko wapi?
hizo hesabu ulipiga ukiwa bar gani?Nimepiga hesabu za haraka haraka, kwa makadirio, Tanzania imeshaokoa shs. Trillion 3 ambazo zingepotea kutokana na hasara inayoletwa na foleni, tangu kufunguliwa kwa Ubungo flyover.
Je, kiwango hiki cha pesa kina uhalisia?
Nimepiga hesabu za haraka haraka, kwa makadirio, Tanzania imeshaokoa shs. Trillion 3 ambazo zingepotea kutokana na hasara inayoletwa na foleni, tangu kufunguliwa kwa Ubungo flyover.
Je, kiwango hiki cha pesa kina uhalisia?
Hahahahah, daaah, GDP yetu tu haijafika huko ππHicho kiwango hakina uhalisia, tulichookoa hadi sasa ni Trillion 892.
Kwamba tujadili hisia zako?Nimepiga hesabu za haraka haraka, kwa makadirio, Tanzania imeshaokoa shs. Trillion 3 ambazo zingepotea kutokana na hasara inayoletwa na foleni, tangu kufunguliwa kwa Ubungo flyover.
Je, kiwango hiki cha pesa kina uhalisia?
Bila kusahau phsychological stress ya kukaa foleni muda mrefu ambayo inaweza hata kuleta msongo wa mawazo na magonjwa ya moyo. Hadi unashangaa, hawa wengine wanaokopa pesa kwa ajili ya maendeleo ya usawa wa jinsia na uzazi, huwa wanawaza nini ilihali kuna sekta nyingi za msingi bado hazijakaa sawa?!pesa nyingii zimeokolewa pale kuanzia kwa mtu mmoja mmoja, gari zilikuwa zinapoteza wese pale nusu saa nzima gari ipo sailensa assume zinapotea lita mbili kila gari asubuh na jioni jumla nne 4*2300=9200 *magari Laki moja(est..)kwa siku, na pikipik
Watu walikuwa wanachelewa kazini kwenda kuzalisha mali mtu anfika kazini saa tatu keshapoteza lisaa ambalo angeweza ichangia serikali kodi ya angalau eflu tano kwa lile lisaa mara watu laki tano kwa siku,
Gari zinavujisha oili zinaharibu lami ,hewa chafu moshi pale unasambaa kwa muda mwingi eneo lile gRi kusimA muda mrefu