Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,270 Reaction score 111,361 Dec 29, 2025 #21 jamesemm said: Hiyo nisheria ya FIFA,je sheria ya nchi inasemaje? Mkuu usiongee tu hivi unajua kama kuna watu wanateseka kwa jambo hili? Click to expand... Mzee baba mbona maelezo yangu yamenyooka kabisa na nimekutajia kuwa hao wachezaji wana vinasaba na Tanzania Sheria ya nchi inawatambua kama Watanzania, unakuwa uraia wa kurithi na wanapewa kwa ajili ya kulitumikia taifa... Hao wachezaji wote wana hati za kusafiria za Tanzania... Tanzania kuna aina nne za uraia, kwa hao wachezaji ni aina hiyo namba 2... 1) Uraia wa kuzaliwa 2) Uraia wa kurithi 3) Uraia wa kuoa au kuolewa 4) Uraia wa kujiandikisha View attachment 3522330
jamesemm said: Hiyo nisheria ya FIFA,je sheria ya nchi inasemaje? Mkuu usiongee tu hivi unajua kama kuna watu wanateseka kwa jambo hili? Click to expand... Mzee baba mbona maelezo yangu yamenyooka kabisa na nimekutajia kuwa hao wachezaji wana vinasaba na Tanzania Sheria ya nchi inawatambua kama Watanzania, unakuwa uraia wa kurithi na wanapewa kwa ajili ya kulitumikia taifa... Hao wachezaji wote wana hati za kusafiria za Tanzania... Tanzania kuna aina nne za uraia, kwa hao wachezaji ni aina hiyo namba 2... 1) Uraia wa kuzaliwa 2) Uraia wa kurithi 3) Uraia wa kuoa au kuolewa 4) Uraia wa kujiandikisha View attachment 3522330
M matonyamswanu JF-Expert Member Joined Dec 7, 2025 Posts 358 Reaction score 433 Dec 29, 2025 #22 lukesam said: Kwa ujinga ujinga, rushwa na kupuuzwa kwa sheria za nchi, sitoshangaa hata kidogo kusikia kuna mtanzania ana uraia wa nchi nyingine na bado anao uraia wa Tanzania. Click to expand... Neno sheria Tanzania liondoe. Watakalotaka wenye nchi yao huwa, na halipingwi. Mradi uwe na hela, madaraka au mwimbaji wa sifa na kuabudu au connection.
lukesam said: Kwa ujinga ujinga, rushwa na kupuuzwa kwa sheria za nchi, sitoshangaa hata kidogo kusikia kuna mtanzania ana uraia wa nchi nyingine na bado anao uraia wa Tanzania. Click to expand... Neno sheria Tanzania liondoe. Watakalotaka wenye nchi yao huwa, na halipingwi. Mradi uwe na hela, madaraka au mwimbaji wa sifa na kuabudu au connection.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Dec 29, 2025 #23 Hata Polisi na wanajeshi pacha nao wapo... Cc: Mahondaw
secretarybird JF-Expert Member Joined Aug 22, 2024 Posts 23,984 Reaction score 51,055 Dec 29, 2025 #24 jamesemm said: Hiyo nisheria ya FIFA,je sheria ya nchi inasemaje? Mkuu usiongee tu hivi unajua kama kuna watu wanateseka kwa jambo hili? Je kama ulizaliwa Tanzania na babu zako walitoka nje wewe utakuwa wa nchi gani? Click to expand... Wa Tanzania.
jamesemm said: Hiyo nisheria ya FIFA,je sheria ya nchi inasemaje? Mkuu usiongee tu hivi unajua kama kuna watu wanateseka kwa jambo hili? Je kama ulizaliwa Tanzania na babu zako walitoka nje wewe utakuwa wa nchi gani? Click to expand... Wa Tanzania.