K Kimbori JF-Expert Member Joined Feb 21, 2012 Posts 6,112 Reaction score 4,540 Sep 6, 2012 #1 Kuna aina tatu za mifumo ya uchumi duniani amabyo ni; ubeperi, ujamaa, na mchanyanyiko wa ubepari na ujamaa. Naoma kujua, je Tanzania inatumia aina ipi?, je umeainishwa sehemu gani katika Katiba? Naomba kuwakilisha.
Kuna aina tatu za mifumo ya uchumi duniani amabyo ni; ubeperi, ujamaa, na mchanyanyiko wa ubepari na ujamaa. Naoma kujua, je Tanzania inatumia aina ipi?, je umeainishwa sehemu gani katika Katiba? Naomba kuwakilisha.
Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 94,296 Reaction score 122,540 Sep 6, 2012 #2 Inafuata mfumo usioeleweka.