Naton Jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2016
- 7,867
- 19,250
Baada ya Tanzania kuitosheleza Africa Mashariki kwa mahindi sasa inataka kuitosheleza kwa mchele
Ikumbukwe Tanzania ndio great supplier wa mchele Rwanda, Burundi, Uganda and Kenya ama kwa hakika awamu hii imeamua
Sasa Tanzania kua among the greatest Rice producers in the world maybe ni baada ya kusainiwa makataba wa mkopo wa billions of money kwa hii project ya mchele
Pesa hizi zitabadilisha kabisa mkoa wa Kigoma na kua Rice producer region
Project itakua na mashamba makubwa ya maelfu ya ekari na viwanda vya kukoboa na kupack mchele first grade utakaouzwa ndani na nje ya nchi
Kutafungwa computerized irrigation system which will allow the cultivation to be done for the whole seasons of the year.