WilsonKaisary
JF-Expert Member
- Apr 4, 2017
- 392
- 954
Kila mkoa chini ya mkuu wa mkoa ungejitangazia mamlaka kamili.Kwa tafsiri fupi wasiojua maana designated survivor, huyu Ni mteule wa hatamu ya uraisi ambae huteuliwa na raisi au kamati kuu ya usalama ya nchi au bunge, huyu mtu huteuliwa Palo ambapo viongozi wakuu wa nchi wanapokutana mfano leo Bunge lilipokuwa linavunjwa tumeona viongozi wakuu wamekutana bungeni.
Huyu designated survivor huteuliwa kushika hatamu ya uraisi na kiti Cha uraisi haswa pale kutatokea shambulio la kigaidi na viongozi wote wakadhurika wakuu wa nchi wakafa au kuwa hoi maututi. Yani mfano Leo bungeni Dodoma lingetokea shambulio ambalo linge sababisha vifo au umaututi wa viongozi Hawa wakuu ( Raisi, Makamu, Spika, Naibu spika,Waziri mkuu).
Huyu designated survivor angeapishwa hapo hapo na kuwa raisi wa muda mpaka uchaguzi mkuu ambapo ungefanyika.
Designated Survivor huyu huteuliwa kisiri na hufichwa nje mbali na eneo, lile wanalokutana viongozi Hawa.
Mfano Kama Leo wamekutana Dodoma bungeni, Basi angepelekwa mkoa wa mbali Labda Shinyanga n.k kwa lengo tu asidhurike. Na hulindwa kikamilifu.
Kwa nchi Kama Marekani wanautaratibu huu, haswa pale wanapokutana kwenye Congress ya pamoja.
Je kwa nchi yetu ipo sababu kikatiba ya kuwa na Designated Survivor ataetambulika kikatiba? Na ambae janga Kama hili likitokea aweze kupewa hatamu ya uraisi kwa muda.
Maana tukisema hapana, vipi Kama Leo bunge lingesambalatishwa Leo na tungepoteza viongozi wote. Ni Nani angeshika hatamu ya uraisi? Na kwa misingi ipi au kwa sheria ipi?
Mawazo yako hayo na sio ya katiba.Kila mkoa chini ya mkuu wa mkoa ungejitangazia mamlaka kamili.
Katiba ina ombwe kwenye hicho kipengele.Mawazo yako hayo na sio ya katiba.
Katiba ianishe Hilo mapema.Jeshi
Ndio wangekuwa wote wanakutana kifala hivyo?Mbona tunaye, ukianza na makamu wa raisi, speaker, jaji mkuu
Ni kweli kabisa. Nadhani hata kwetu sisi kuna haja ya kufanya hivi maana dunia imeenda kasi kweli kweli na kuna vitu muhimu kimkakati kama hivi ni lazima viwepoHuyu designated survivor huteuliwa kushika hatamu ya uraisi na kiti Cha uraisi haswa pale kutatokea shambulio la kigaidi na viongozi wote wakadhurika wakuu wa nchi wakafa au kuwa hoi maututi. Yani mfano Leo bungeni Dodoma lingetokea shambulio ambalo linge sababisha vifo au umaututi wa viongozi Hawa wakuu ( Raisi, Makamu, Spika, Naibu spika,Waziri mkuu).
Huyu designated survivor angeapishwa hapo hapo na kuwa raisi wa muda mpaka uchaguzi mkuu ambapo ungefanyika.
Designated Survivor huyu huteuliwa kisiri na hufichwa nje mbali na eneo, lile wanalokutana viongozi Hawa.
Mfano Kama Leo wamekutana Dodoma bungeni, Basi angepelekwa mkoa wa mbali Labda Shinyanga n.k kwa lengo tu asidhurike. Na hulindwa kikamilifu.
Jiwe hataki kabisa hata kusikia hilo pamoja na mambo mengine mengi ya kikatiba mpaka ccm watoke madarakani hayo mambo yatawezekana.Kwa tafsiri fupi wasiojua maana designated survivor, huyu Ni mteule wa hatamu ya uraisi ambae huteuliwa na raisi au kamati kuu ya usalama ya nchi au bunge, huyu mtu huteuliwa Palo ambapo viongozi wakuu wa nchi wanapokutana mfano leo Bunge lilipokuwa linavunjwa tumeona viongozi wakuu wamekutana bungeni.
Huyu designated survivor huteuliwa kushika hatamu ya uraisi na kiti Cha uraisi haswa pale kutatokea shambulio la kigaidi na viongozi wote wakadhurika wakuu wa nchi wakafa au kuwa hoi maututi. Yani mfano Leo bungeni Dodoma lingetokea shambulio ambalo linge sababisha vifo au umaututi wa viongozi Hawa wakuu ( Raisi, Makamu, Spika, Naibu spika,Waziri mkuu).
Huyu designated survivor angeapishwa hapo hapo na kuwa raisi wa muda mpaka uchaguzi mkuu ambapo ungefanyika.
Designated Survivor huyu huteuliwa kisiri na hufichwa nje mbali na eneo, lile wanalokutana viongozi Hawa.
Mfano Kama Leo wamekutana Dodoma bungeni, Basi angepelekwa mkoa wa mbali Labda Shinyanga n.k kwa lengo tu asidhurike. Na hulindwa kikamilifu.
Kwa nchi Kama Marekani wanautaratibu huu, haswa pale wanapokutana kwenye Congress ya pamoja.
Je kwa nchi yetu ipo sababu kikatiba ya kuwa na Designated Survivor ataetambulika kikatiba? Na ambae janga Kama hili likitokea aweze kupewa hatamu ya uraisi kwa muda.
Maana tukisema hapana, vipi Kama Leo bunge lingesambalatishwa Leo na tungepoteza viongozi wote. Ni Nani angeshika hatamu ya uraisi? Na kwa misingi ipi au kwa sheria ipi?
Mpumbavu wewe, do research ndio uongee.*****. hao Ni designated survivor wa Marekani.Mambo ya movie yawekwe kikatiba sio?.
| Date | Occasion | Designee | Position | Notes |
|---|---|---|---|---|
| February 18, 1981 | Presidential Address to Joint Session of Congress[2] | Terrel Bell | Secretary of Education | [3] |
| January 25, 1984 | State of the Union | Samuel Pierce | Secretary of Housing and Urban Development | [4][5][6][7] |
| January 21, 1985 | Presidential Inauguration | Margaret Heckler | Secretary of Health and Human Services | [8] |
| February 6, 1985 | State of the Union | Malcolm Baldrige | Secretary of Commerce | [4][5][7][9] |
| February 4, 1986 | State of the Union | John Block | Secretary of Agriculture | [4][5][7][10] |
| January 27, 1987 | State of the Union | Richard Lyng | Secretary of Agriculture | [4][5][7][11] |
| January 25, 1988 | State of the Union | Donald Hodel | Secretary of the Interior | [4][3][5][7] |
| February 9, 1989 | Presidential Address to Joint Session of Congress[2] | Lauro Cavazos | Secretary of Education | [citation needed] |
| January 31, 1990 | State of the Union | Edward J. Derwinski | Secretary of Veterans Affairs | [4][5][7][12] |
| January 29, 1991 | State of the Union | Manuel Lujan | Secretary of the Interior | [4][5][7][13] |
| January 28, 1992 | State of the Union | Ed Madigan | Secretary of Agriculture | [4][5][7] |
| February 17, 1993 | Presidential Address to Joint Session of Congress[2] | Bruce Babbitt | Secretary of the Interior | [4][5][7] |
| January 25, 1994 | State of the Union | Mike Espy | Secretary of Agriculture | [4][5][7] |
| January 24, 1995 | State of the Union | Federico Peña | Secretary of Transportation | [4][5][7] |
| January 23, 1996 | State of the Union | Donna Shalala | Secretary of Health and Human Services | [4][5][7][14] |
| February 4, 1997 | State of the Union | Dan Glickman | Secretary of Agriculture | [4][5][7][15] |
| January 27, 1998 | State of the Union | William Daley | Secretary of Commerce | [4][5][7] |
| January 19, 1999 | State of the Union | Andrew Cuomo | Secretary of Housing and Urban Development | [4][5][7][16] |
| January 27, 2000 | State of the Union | Bill Richardson | Secretary of Energy | [4][5][7][17] |
| February 27, 2001 | Presidential Address to Joint Session of Congress[2] | Anthony Principi | Secretary of Veterans Affairs | [4][5][7] |
| September 20, 2001 | Presidential Address to Joint Session of Congress (following the September 11 attacks) | Dick Cheney | Vice President | [4][18] |
| Tommy Thompson | Secretary of Health and Human Services | |||
| January 29, 2002 | State of the Union | Gale Norton | Secretary of the Interior | [5][7][19] |
| January 28, 2003 | State of the Union | John Ashcroft | Attorney General | [4][5][7][20] |
| Norman Mineta | Secretary of Transportation | |||
| January 20, 2004 | State of the Union | Donald Evans | Secretary of Commerce | [4][5][7][21] |
| January 20, 2005 | Presidential Inauguration | Gale Norton | Secretary of the Interior | [22][23] |
| February 2, 2005 | State of the Union | Donald Evans | Secretary of Commerce | [4][5][7][24][25] |
| Ted Stevens (R-AK) | President pro tempore of the Senate | |||
| January 31, 2006 | State of the Union | Jim Nicholson | Secretary of Veterans Affairs | [4][5][7][24][26] |
| Ted Stevens (R-AK) | President pro tempore of the Senate | |||
| January 23, 2007 | State of the Union | Alberto Gonzales | Attorney General | [4][5][7][24][27] |
| January 28, 2008 | State of the Union | Dirk Kempthorne | Secretary of the Interior | [4][5][7][28] |
| January 20, 2009 | Presidential Inauguration | Robert Gates | Secretary of Defense | [29][30] |
| February 24, 2009 | Presidential Address to Joint Session of Congress[2] | Eric Holder | Attorney General | [4][5][7][31] |
| September 9, 2009 | Presidential Address to Joint Session of Congress (Health Care Speech to Congress) | Steven Chu | Secretary of Energy | [32] |
| January 27, 2010 | State of the Union | Shaun Donovan | Secretary of Housing and Urban Development | [5][7] |
| January 25, 2011 | State of the Union | Ken Salazar | Secretary of the Interior | [5][7][33] |
| January 24, 2012 | State of the Union | Tom Vilsack | Secretary of Agriculture | [5][7][34] |
| January 21, 2013 | Presidential Inauguration | Eric Shinseki | Secretary of Veterans Affairs | [35] |
| February 12, 2013 | State of the Union | Steven Chu | Secretary of Energy | [7] |
| January 28, 2014 | State of the Union | Ernest Moniz | Secretary of Energy | [36][37] |
| January 20, 2015 | State of the Union | Anthony Foxx | Secretary of Transportation | [38][39] |
| January 12, 2016 | State of the Union | Orrin Hatch (R-UT) | President pro tempore of the Senate | [40] |
| Jeh Johnson | Secretary of Homeland Security | [41] | ||
| January 20, 2017 | Presidential Inauguration | Orrin Hatch (R-UT) | President pro tempore of the Senate | [42] |
| Jeh Johnson | Secretary of Homeland Security | [43] | ||
| February 28, 2017 | Presidential Address to Joint Session of Congress[2] | David Shulkin | Secretary of Veterans Affairs | [44][45][46] |
| January 30, 2018 | State of the Union | Sonny Perdue | Secretary of Agriculture | [47] |
| February 5, 2019 | State of the Union | Rick Perry | Secretary of Energy | [48] |
| February 4, 2020 | State of the Union | David Bernhardt | Secretary of the Interior |
Mnawazaga kuua wenzenu tu,pathetic,na mshindwe na mlegee kwa jina la yesuKwa tafsiri fupi wasiojua maana designated survivor, huyu Ni mteule wa hatamu ya uraisi ambae huteuliwa na raisi au kamati kuu ya usalama ya nchi au bunge, huyu mtu huteuliwa Palo ambapo viongozi wakuu wa nchi wanapokutana mfano leo Bunge lilipokuwa linavunjwa tumeona viongozi wakuu wamekutana bungeni.
Huyu designated survivor huteuliwa kushika hatamu ya uraisi na kiti Cha uraisi haswa pale kutatokea shambulio la kigaidi na viongozi wote wakadhurika wakuu wa nchi wakafa au kuwa hoi maututi. Yani mfano Leo bungeni Dodoma lingetokea shambulio ambalo linge sababisha vifo au umaututi wa viongozi Hawa wakuu ( Raisi, Makamu, Spika, Naibu spika,Waziri mkuu).
Huyu designated survivor angeapishwa hapo hapo na kuwa raisi wa muda mpaka uchaguzi mkuu ambapo ungefanyika.
Designated Survivor huyu huteuliwa kisiri na hufichwa nje mbali na eneo, lile wanalokutana viongozi Hawa.
Mfano Kama Leo wamekutana Dodoma bungeni, Basi angepelekwa mkoa wa mbali Labda Shinyanga n.k kwa lengo tu asidhurike. Na hulindwa kikamilifu.
Kwa nchi Kama Marekani wanautaratibu huu, haswa pale wanapokutana kwenye Congress ya pamoja.
Je kwa nchi yetu ipo sababu kikatiba ya kuwa na Designated Survivor ataetambulika kikatiba? Na ambae janga Kama hili likitokea aweze kupewa hatamu ya uraisi kwa muda.
Maana tukisema hapana, vipi Kama Leo bunge lingesambalatishwa Leo na tungepoteza viongozi wote. Ni Nani angeshika hatamu ya uraisi? Na kwa misingi ipi au kwa sheria ipi?
Hakuna Yesu Kama huyo unaemtaja kwa jina lake. Yesu anaekuambia uogope kifo na anaekunyima uelewa, Kuna mtu au huo uzi umekuambia tunataka mtu afe.? Huyo Yesu wako Ni yupi aliyekunyima akili? Nawe mgalatia, Ni Nani aliyekuloga?Mnawazaga kuua wenzenu tu,pathetic,na mshindwe na mlegee kwa jina la yesu
Hii kitu ilishawahi tokea au ni mambo ya kufikirika? Toa mfano.Kwa tafsiri fupi wasiojua maana designated survivor, huyu Ni mteule wa hatamu ya uraisi ambae huteuliwa na raisi au kamati kuu ya usalama ya nchi au bunge, huyu mtu huteuliwa Palo ambapo viongozi wakuu wa nchi wanapokutana mfano leo Bunge lilipokuwa linavunjwa tumeona viongozi wakuu wamekutana bungeni.