Je, Tanzania ipo sababu ya kuwa na Designated Survivor?

Tusiwe tunaiga kila kitu, vitu vingine tuwaachie wazungu kama tulivyofanya kwenye issue ya corona.
Hii ya designated survivor wanaitumia US kwa kuhofia kushambuliwa na maadui zao na nchi kukosa kiongozi wa dharura, sasa TZ tuna adui gani wakutufanya tusumbuke na madesignated survivor. Hata wakifa wote kama unavyofikiria itachukua few hours kwa nchi kuwa na uongozi wa dharura.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona umepanic sana?!
Povu lote la nini?
DS hadi ufanye research.?its a well known concept
Ficha ujinga wako
 
Reactions: 30P
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…