Je Tanzania Kilimo kwanza na GreenHouse kwa small scale farmers Vipi???

Je Tanzania Kilimo kwanza na GreenHouse kwa small scale farmers Vipi???

Herbert

Member
Joined
Oct 8, 2008
Posts
73
Reaction score
3
Wadau waliopitia mambo ya kilimo sera za kilimo kwanza kwa undani Naombeni msaada kujua kama swala la kuwaelimisha wakulima wa kibongo juu ya greenHouses lipo na limepewa nafasi gani???

Ndugu zetu hapo kenya wan huyu supplier Welcome to Amiran Kenya Ltd wa green houses na kuna ambazo zinaonekana kuwa wakulima wa kawaida wakiwezeshwa kupitia mfuko wa pembejeo wanaweza kuafidi sana badala ya kukomalia power tillers na matrekta pekee.

Halafu please kama kuna mdau mwenye uelewa juu ya green house and tomatto cultivation especially in productivity, Aina ya mbegu, Lini mbegu zisiwe, Zipandwe ndani ya green house na mambo mengine yote ya muhimu yanayotakiwa ili kufanikisha uzalishaji wa nyaya ndani ya green house atupe somo hapa please.
 
mtaalam wa kujenga greenhouse kwa hapa Tanzania anapatikana wapi?
 
Back
Top Bottom