Shozylin
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 341
- 699
Wakuu kwema, kuna mahala nimetembelea kwenye page ya mtu x hua anajinasibu kwa kusaidia watu pesa, ukipita kwenye comment section unaweza kuona ni kwa kiasi gani watu Wana matatizo, huyu kaeleza hili yule nae kaja na hili
Binafsi nikawaza Tanzania hatuna platform maarumu kwa ajili ya kusaidia wadau wenye shida binafsi, wafanya biashara na wajasiriamali.?
Nilijaribu kuangalia platform za kibongo skuona ila kuna Mona ya E.A ipo Kenya inaitwa M - changa lakini nayo kwa Sasa haitoi fund kwa mtu binafsi.
Lakini huko duniani kwingine zipo na wanasaidizana.
Kwa bongo naona jukumu hili kalibeba malisa GJ lakini ka specialize kwa watu wenye mahitaji maarumu hususani wagonjwa.
Kama kuna platform ya kibongo itaje tuijue Kama hakuna nawaza kwanini Tanzania tusianzishe kitu Kama hiki.?