EllySkyWilly
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 2,204
- 2,086
Chama kipo ingia kwenye website yao ujisomee mwenyewwHabarini za leo wakuu.
Nahitaji kujua kama kuna chama cha wakemia Tanzania.
Na kama kipo kazi zake ni zipi hapa nchini.
Na kama hakipo kwanini hakipo wakati field ya kemia ipo hadi Kwenye katiba.
Sote tunajua kuna mkemia mkuu wa serikali Tanzania.
Je, yeye kama mkemia mkuu hana jukumu lolote la katika jumuhia za wakemia duniani na nchini?
Ni hayo tu wakuu
Kwani tofauti ya Board na Chama ni niniUnauliza board ya wakemia au Tanzania society ya wakemia ? Nijuavyo ipo TCS Tanzania Chemical society lakini hawana bodi ,hii TCS wanachukua ada na kula tu
Kazi ya TCS kubwa na ndogo ndogo ni nini naomba kuelimishwa wakubwa