mtanzania asiye jielewa
Senior Member
- Nov 13, 2016
- 179
- 98
Safi sana kwa authority.Kuna sheria inaitwa The HIV AND AIDS (PREVENTION AND CONTROL) ACT hii ni ya mwaka 2008 na katika kifungu cha 33(2) (a) kinatoa jukumu la mtu mwenye maambukizi kulinda mtu asipate maambukizi kutoka kwake