Je, Tanzania ni kichwa cha mwendawazimu kwenye kupambana na majanga ya aina zote?

Je, Tanzania ni kichwa cha mwendawazimu kwenye kupambana na majanga ya aina zote?

Pang Fung Mi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
6,653
Reaction score
13,919
Hello hello!

Kulingana na kadhia hasa nyakati za majanga inachekesha sana, kitengo cha maafa, Jeshi la uokoaji, na kamati zote zimeendekeza Utopolo wa kujirudia, nyakati zote huambatana na haya.
Uokoaji hafifu, duni wenye vitu hivi

1. Hakuna vifaa
2. Waokoaji sifuri
3. Raia wa kawaida huibuka mashujaa kuliko wenye mafunzo
4. Viongozi wanaenda kwenye tukio kupiga soga na kuonekana kwenye camera za wanahabari.
5. Viongozi wanaongea kisanii

Mtaongezea mengine nimechoka na usanii wa Tanzania?

Pang Fung Mi
 
Back
Top Bottom