Nimesoma habari hii
https://www.jamiiforums.com/habari-...amba-ya-zanzibar-naweza-kuitumia-tz-bara.html
Na nimeona michango hii ambayo inanifanya nijiulize je ni kweli kuwa Tanzania ni nchi moja?
Naelewa kuwa wengi tunaamini Tanzania ni nchi moja, mimi si mmoja kati ya hao.
Mimi naelewa Tanzania ni Muungano wa nchi mbili.
Michango ya wanaJF hawa imenifanya nianzishe mjadala huu.
Je wewe msomaji una mawazo au mtazamo upi?
Tanzania ni nchi moja au Tanzania ni nchi mbili?
Eleza sababu zako.
Kama Tanzania ni nchi mbili, unaweza kuzitaja kwa majina?

Itabidi usajili TRA upate namba mpya, vinginevyo usumbufu utakaokuwa ukipata utakukera na kukugharimu sana...hawaelewi somo,na ndo utajua bara na zbr ni nchi moja au 2 tofauti
Unaweza kulitumia bila wasi wasi wote na ukakata nalo mitaa yote bila bughuza zozote ili mradi tu ufate sheria.
Kwanza lisajili hilo gari huko Zanzibar ili lipate namba mpya zinazoanzia na Z xxx YY. kisha litapata police clearance na kulileta Bara na kulilipia kama gari inayotoka Kenya, Uganda au nchi yoyote ile ya kigeni.