Tuseme upo sahihi!!!Ila ina jishikiza kwa dini kuu mbili [ uislamu na ukristo ] je nipo sahihi juu ya kauli yangu ?
Habari za saa wanachama wa hii platform pendwa, nilikuwa na swali muhimu kwenu wanachama lenye kuhitaji majawabu kutoka kwenu.
Swali lenyewe muhimu ni hili:-
Je Taifa letu la Tanzania ni la kidini au sio la kidini ?
Tafsiri nyepesi zaidi ya swali langu ni hii: Je taifa letu Tanzania ni la wale tu wenye dini za kikristo na kiislamu[ ndizo dini za serikali ya Tanzania] au ni taifa lisilo egemea katika dini yoyote ile ?
Karibuni wajuvi wa mambo mpate kunijuza kwa faida yangu na ya wanachama wengine.
Kuhusu shughuli mbali mbali za kitaifa dini kuu mbili[ Ukristo na Uislam ]kuzingatia sana na kuonekana ni Jambo la muhimu hilo na haujui ndugu ?Ninachojua ni kwamba;
Serikali ya Tanzania haina dini ila watu wake ndiyo wana dini Mwl. J. K. Nyerere
Kuhusu nchi sijui
Kuhusu Taifa sijui
Kuhusu vyama vya siasa sijui
Serikali ikiwa na dini haiwezi kuwa nazo mbili, ni moja tu. Zanzibar imejikita kwenye uisilamu na matatizo ya waisilamu, wengine mtajua wenyewe.Vipi kwa serikali yetu kuonekana kuwa imejishikiza katika hizi dini mbili ukristo na uislam ?
Kwa hiyo kimaandishi ya kitabuni nchi sio ya kidini ila kivitendo vya kiserikali ni nchi ya kidini kuu mbili uislam na ukristo si ndivyo ?Wakati inchi hii inapata uhuru iliwekwa wakfu chini ya uangalizi wa mama bikira maria. Wakfu huu unalindwa na kanisa katoliki ambalo linahakikisha inchi hii inatawaliwa na marais wenye vinasaba vya kanisa hilo ili kulinda maslahi yao.
Tofauti na hapo hakuna rais atatokea ambae hana vinasaba. Fatilia marais waislamu wa nchii itajua nn maanisha. Lkn fatilia ishu ya watu waliokuwa na nguvu kwenye chama kama lowasa, salimu ahmed salimu na watu kama moringe.
Labda kwa sababu watu wengi wa kutoka dini hizo ndio waliopo serikalini !! Wale wa imani tofauti na hizo wapo lakini kutokana na uchache wao hawaonekani na hawasikiki !!Kupitia shughuli mbali mbali za kiserikali matumizi ya hizi dini mbili yamekuwa makubwa na muhimu yana zingatiwa sana kitu ambacho maandishi ya kitabuni hayasemi hivyo ?
Lakini maandishi ya kitabuni hayasemi uchache au wingi wa waumini bali serikali imejiweka mbali na hili Jambo kwa nini kivitendo imejiweka karibu kuna kipi hakipo sawa ?Labda kwa sababu watu wengi wa kutoka dini hizo ndio waliopo serikalini !! Wale wa imani tofauti na hizo wapo lakini kutokana na uchache wao hawaonekani na hawasikiki !!
Kwenye makaratasi ni taifa la kipagani,lakini kiutendaji Kuna udini,ndiyo maana Kuna viongozi wastaafu wanafanyiwa michakato ya utakatifu huko kwenye madhehebu yaoHabari za saa wanachama wa hii platform pendwa, nilikuwa na swali muhimu kwenu wanachama lenye kuhitaji majawabu kutoka kwenu.
Swali lenyewe muhimu ni hili:-
Je Taifa letu la Tanzania ni la kidini au sio la kidini ?
Tafsiri nyepesi zaidi ya swali langu ni hii: Je taifa letu Tanzania ni la wale tu wenye dini za kikristo na kiislamu[ ndizo dini za serikali ya Tanzania] au ni taifa lisilo egemea katika dini yoyote ile ?
Karibuni wajuvi wa mambo mpate kunijuza kwa faida yangu na ya wanachama wengine.
Kwa hiyo serikali kwa makusudi kabisa ina kiuka maandishi ya kitabu katika hili swala ?Kwenye makaratasi ni taifa la kipagani,lakini kiutendaji Kuna udini,ndiyo maana Kuna viongozi wastaafu wanafanyiwa michakato ya utakatifu huko kwenye madhehebu yao
"IN GOD WE TRUST" ilipitishwa kuwa kauli mbiu rasmi ya Marekani mwaka wa 1956 ikiaashiria kwamba ustawi wa kisiasa na kiuchumi wa taifa hilo uko mikononi mwa Mungu.Ila wao wanasema serikali yao sio ya kidini je kuna ukweli wowote hapo ndugu ?
Moja kwa moja ina jenga taswira kuwa marekani ni taifa la kidini si ndivyo ndugu ?"IN GOD WE TRUST" ilipitishwa kuwa kauli mbiu rasmi ya Marekani mwaka wa 1956 ikiaashiria kwamba ustawi wa kisiasa na kiuchumi wa taifa hilo uko mikononi mwa Mungu.