Je, Tanzania pekee ndio inahofia mfumuko wa bei kushindwa kutangaza kwa uwazi nyongeza ya mshahara?

Trust None

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2018
Posts
1,260
Reaction score
4,419
Wakati Rais wetu akiita 'Jambo Letu'...

“Lile jambo letu lipo. Ndugu zangu jambo letu lipo ila sio kwa kiwango kilichosemwa na TUCTA kwa sababu mnajua hali ya uchumi wa nchi yetu na hali ya uchumi wa dunia. Hali si nzuri sana uchumi wetu ulishuka chini mno."

"Tumejitahidi sana na kwa sababu nilishatoa ahadi mwaka jana, kwa hiyo nimeagiza jambo liwepo, mahesabu yanaendelea, tutajua lipo kwa kiasi gani. Lakini jambo lipo”

Anahofia nini kusema ukweli? Kwani huo mfumuko upo Tanzania pekee?

Kwa jirani:
 
Tumekosea wapi?Je,kukubali kuajiriwa ndiyo iwe tiketi ya kunyanyaswa na kila mtawala kwa kutumia style yake?Mama Samia kama watangulizi wake katafuta angle yake,mahesabu yanafanyika,tutaona huko mbeleni!
Kupandisha mishahara yenye kuleta unafuu wa kukidhi mahitaji ya waajiriwa ni jukumu la waajiri(ikiwemo serikali).Hizi mbwembwe za wanasiasa kutuamulia masuala ya maslahi ni uonevu.Mbona wanasiasa wanajilipa maslahi manene kwa kujipangia ila kwa uchu na ghilba huja na visingizio vya uchumi kudorora au tunajenga miradi kwanza.Nani kaanzisha hiyo miradi?Kama hauna fedha ya kujikimu utawaza kujenga mradi kwanza?
Hatujawahi kusikia wabunge kukosa marupu rupu kwa kuwa uchumi unayumba au mlipuko wa Corona,kipindupindu,kimeta au Surua.Kwa nini watumishi wanaokesha waliopo field siku 365-28 waathiriwe na uchumi kuwa wa chini,kati au vinginevyo?Sijawahi kusikia serikali ikishindwa kulipa mafao ya wanasiasa kama wabunge kwa mamia ya mamilioni kila moja ama kujaza mafuta MV8 mapya kila mwaka.It's unfair Men!
Kazi ni Uhai,tusiwatese wengine kwa manufaa ya wachache wanaokula Sungura peke yao.
 
Sijui wanawaza nini, Kenya 12%, huko DRS 30%, Tz tunakwama wapi?
 
Pole sana. Umeandika kwa uchungu sana, lakini, aah, ndiyo hivyo tena.

Ukisema wabunge na wanasiasa kujipangia maruprupu, ninakuelewa, na hapo hapo nikikukumbusha mliyokwisaambiwa huko nyuma, kwamba "kula ni kwa urefu wa kamba."

Hii ndiyo fiilosofia mpya mliyopewa.

Maana yake ni kwamba, na nyinyi mkawanyonge wachovu wenu huko mnakofanyia kazi zenu.

Na hao mnaowanyonga huko, na wao watafute mahali pa kunyonga, mradi maisha yaende.

Naamini hatimaye tutafika tu maahala tutakapokutania sote. Ni swala la muda tu.
 
Mwalimu anamnyonga nani? Aibe chaki!
 
Same old bullshit!

Mtu anaanza kwa kutamba kuwa ameagiza NDEGE mpya tano (5), kisha ikifika kwenye mishahara anasema uchumi umedorola…. maafakaa.!
 
Au auze mitihani?
Anaweza pia kuchangisha pesa za usafi n.k..
Mkuu mbana hivi, na wewe huna ubunifu kama mimi katika mambo haya ya kuwanyonga watu, ama!
Mkuu, Elimu bure imeharibu kila kitu. Michango yote lazima kupata kibali, na jamii inalifahamu hilo. Ukigusa unanata
 
Pole sana. Umeandika kwa uchungu sana, lakini, aah, ndiyo hivyo tena.

Ukisema wabunge na wanasiasa kujipangia maruprupu, ninakuelewa, na hapo hapo nikikukumbusha mliyokwisaambiwa huko nyuma, kwamba "kula ni kwa urefu wa kamba."

Hii ndiyo fiilosofia mpya mliyopewa.

Maana yake ni kwamba, na nyinyi mkawanyonge wachovu wenu huko mnakofanyia kazi zenu.

Na hao mnaowanyonga huko, na wao watafute mahali pa kunyonga, mradi maisha yaende.

Naamini hatimaye tutafika tu maahala tutakapokutania sote. Ni swala la muda tu.
Wafanyakazi wa Tanzania ni wanyonge na wao wawatese wanyonge wao halafu hao wanyonge nao wawatafute wanyonge wenzao!Serikali ya Tanzania au nyingine yoyote inawezaje kufanikisha agenda za maendeleo bila kuwajali wanaosimamia na kutekeleza kazi za kila siku?Ng'ombe mwenye njaa huwa anatoa maziwa bora?
 
Mkuu, Elimu bure imeharibu kila kitu. Michango yote lazima kupata kibali, na jamii inalifahamu hilo. Ukigusa unanata
Mkuu wangu, unakosa 'ubunifu'.

Sikuhimizi ufanye haya, lakini nayasema tu kukuonyesha kwamba mfumo uliopo unakutaka uwe mbunifu, hata katika mambo yasiyofaa.

Ni nani aliyejua kwamba kuna siku ndani ya nchi hii tutakuwa 'wabunifu' kiasi cha kutaka kuwahamisha watu kwenye makao yao walikozaliwa na kukulia ili kupisha wawekezaji toka nje!
 
Wafanyakazi wa Tanzania ni wanyonge na wao wawatese wanyonge wao halafu hao wanyonge nao wawatafute wanyonge wenzao!Serikali ya Tanzania au nyingine yoyote inawezaje kufanikisha agenda za maendeleo bila kuwajali wanaosimamia na kutekeleza kazi za kila siku?Ng'ombe mwenye njaa huwa anatoa maziwa bora?
Umeuliza swali, sasa sijui kama unatafuta jibu. Mimi nasema, hapana, ng'ombe dhaifu hatoi maziwa.
Lakini, kumbuka, huenda huyo mwenye ng'ombe hana haja kabisa na hayo maziwa. Watakaohitaji maziwa ya huyo ng'ombe ndio wanaotakiwa kutafuta njia za kumnenepesha ng'ombe huyo. Kwa ujumla wao, wakiona mwenye ng'ombe anawazingua, wafanye kitu kumwondolea mzigo huo.
 
Back
Top Bottom