Trust None
JF-Expert Member
- Feb 12, 2018
- 1,260
- 4,419
Na badoWatumishi tumepigwa tena
Tumekosea wapi?Je,kukubali kuajiriwa ndiyo iwe tiketi ya kunyanyaswa na kila mtawala kwa kutumia style yake?Mama Samia kama watangulizi wake katafuta angle yake,mahesabu yanafanyika,tutaona huko mbeleni!Na bado
Sijui wanawaza nini, Kenya 12%, huko DRS 30%, Tz tunakwama wapi?Tumekosea wapi?Je,kukubali kuajiriwa ndiyo iwe tiketi ya kunyanyaswa na kila mtawala kwa kutumia style yake?Mama Samia kama watangulizi wake katafuta angle yake,mahesabu yanafanyika,tutaona huko mbeleni!
Kupandisha mishahara yenye kuleta unafuu wa kukidhi mahitaji ya waajiriwa ni jukumu la waajiri(ikiwemo serikali).Hizi mbwembwe za wanasiasa kutuamulia masuala ya maslahi ni uonevu.Mbona wanasiasa wanajilipa maslahi manene kwa kujipangia ila kwa uchu na ghilba huja na visingizio vya uchumi kudorora au tunajenga miradi kwanza.Nani kaanzisha hiyo miradi?Kama hauna fedha ya kujikimu utawaza kujenga mradi kwanza?
Hatujawahi kusikia wabunge kukosa marupu rupu kwa kuwa uchumi unayumba au mlipuko wa Corona,kipindupindu,kimeta au Surua.Kwa nini watumishi wanaokesha waliopo field siku 365-28 waathiriwe na uchumi kuwa wa chini,kati au vinginevyo?Sijawahi kusikia serikali ikishindwa kulipa mafao ya wanasiasa kama wabunge kwa mamia ya mamilioni kila moja ama kujaza mafuta MV8 mapya kila mwaka.It's unfair Men!
Kazi ni Uhai,tusiwatese wengine kwa manufaa ya wachache wanaokula Sungura peke yao.
Pole sana. Umeandika kwa uchungu sana, lakini, aah, ndiyo hivyo tena.Tumekosea wapi?Je,kukubali kuajiriwa ndiyo iwe tiketi ya kunyanyaswa na kila mtawala kwa kutumia style yake?Mama Samia kama watangulizi wake katafuta angle yake,mahesabu yanafanyika,tutaona huko mbeleni!
Kupandisha mishahara yenye kuleta unafuu wa kukidhi mahitaji ya waajiriwa ni jukumu la waajiri(ikiwemo serikali).Hizi mbwembwe za wanasiasa kutuamulia masuala ya maslahi ni uonevu.Mbona wanasiasa wanajilipa maslahi manene kwa kujipangia ila kwa uchu na ghilba huja na visingizio vya uchumi kudorora au tunajenga miradi kwanza.Nani kaanzisha hiyo miradi?Kama hauna fedha ya kujikimu utawaza kujenga mradi kwanza?
Hatujawahi kusikia wabunge kukosa marupu rupu kwa kuwa uchumi unayumba au mlipuko wa Corona,kipindupindu,kimeta au Surua.Kwa nini watumishi wanaokesha waliopo field siku 365-28 waathiriwe na uchumi kuwa wa chini,kati au vinginevyo?Sijawahi kusikia serikali ikishindwa kulipa mafao ya wanasiasa kama wabunge kwa mamia ya mamilioni kila moja ama kujaza mafuta MV8 mapya kila mwaka.It's unfair Men!
Kazi ni Uhai,tusiwatese wengine kwa manufaa ya wachache wanaokula Sungura peke yao.
Mwalimu anamnyonga nani? Aibe chaki!Pole sana. Umeandika kwa uchungu sana, lakini, aah, ndiyo hivyo tena.
Ukisema wabunge na wanasiasa kujipangia maruprupu, ninakuelewa, na hapo hapo nikikukumbusha mliyokwisaambiwa huko nyuma, kwamba "kula ni kwa urefu wa kamba."
Hii ndiyo fiilosofia mpya mliyopewa.
Maana yake ni kwamba, na nyinyi mkawanyonge wachovu wenu huko mnakofanyia kazi zenu.
Na hao mnaowanyonga huko, na wao watafute mahali pa kunyonga, mradi maisha yaende.
Naamini hatimaye tutafika tu maahala tutakapokutania sote. Ni swala la muda tu.
Au auze mitihani?Mwalimu anamnyonga nani? Aibe chaki!
Mkuu, Elimu bure imeharibu kila kitu. Michango yote lazima kupata kibali, na jamii inalifahamu hilo. Ukigusa unanataAu auze mitihani?
Anaweza pia kuchangisha pesa za usafi n.k..
Mkuu mbana hivi, na wewe huna ubunifu kama mimi katika mambo haya ya kuwanyonga watu, ama!
Mwalimu anamnyonga nani? Aibe chaki!
Wafanyakazi wa Tanzania ni wanyonge na wao wawatese wanyonge wao halafu hao wanyonge nao wawatafute wanyonge wenzao!Serikali ya Tanzania au nyingine yoyote inawezaje kufanikisha agenda za maendeleo bila kuwajali wanaosimamia na kutekeleza kazi za kila siku?Ng'ombe mwenye njaa huwa anatoa maziwa bora?Pole sana. Umeandika kwa uchungu sana, lakini, aah, ndiyo hivyo tena.
Ukisema wabunge na wanasiasa kujipangia maruprupu, ninakuelewa, na hapo hapo nikikukumbusha mliyokwisaambiwa huko nyuma, kwamba "kula ni kwa urefu wa kamba."
Hii ndiyo fiilosofia mpya mliyopewa.
Maana yake ni kwamba, na nyinyi mkawanyonge wachovu wenu huko mnakofanyia kazi zenu.
Na hao mnaowanyonga huko, na wao watafute mahali pa kunyonga, mradi maisha yaende.
Naamini hatimaye tutafika tu maahala tutakapokutania sote. Ni swala la muda tu.
Mkuu wangu, unakosa 'ubunifu'.Mkuu, Elimu bure imeharibu kila kitu. Michango yote lazima kupata kibali, na jamii inalifahamu hilo. Ukigusa unanata
Umeuliza swali, sasa sijui kama unatafuta jibu. Mimi nasema, hapana, ng'ombe dhaifu hatoi maziwa.Wafanyakazi wa Tanzania ni wanyonge na wao wawatese wanyonge wao halafu hao wanyonge nao wawatafute wanyonge wenzao!Serikali ya Tanzania au nyingine yoyote inawezaje kufanikisha agenda za maendeleo bila kuwajali wanaosimamia na kutekeleza kazi za kila siku?Ng'ombe mwenye njaa huwa anatoa maziwa bora?