๐—๐—ฒ ๐—ง๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐—ฎ ๐˜๐˜‚๐—ป๐—ฎ ๐—ช๐—ฎ๐—ป๐—ฎ๐—ฎ๐—ป๐—ด๐—ฎ ?

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
620
Reaction score
1,240
๐—๐—ฒ ๐—ง๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐—ฎ ๐˜๐˜‚๐—ป๐—ฎ ๐—ช๐—ฎ๐—ป๐—ฎ๐—ฎ๐—ป๐—ด๐—ฎ ?



Ulimwenguni mwaka 2024 Kulikua na jumla ya wanaanga 47 ambao active wanaofanya kazi kati yao wanaume ni 27 na Wanawake 20 ila toka miaka ya nyuma mpaka Leo tuna jumla zaidi ya wanaanga 2000 ulimwenguni.

Nchi za Afrika Ni Mwanaanga mmoja tu Mwanamke aliyeweza kuingia kwenye safari za kuingia Angani anaitwa Sada Sabry mwenye umri wa miaka 30 kutoka Egypt (Misri).



Tanzania hatuna mwanaanga hata mmoja ambao wanajihusisha na safari za kwenye Sayari na wanaotambuliwa na Shirika la Anga la Kimataifa ya masuala ya Anga (NASA).

Kuna mtoto mmoja toka Tanzania ambaye Yuko Nasa anajifunza masuala ya Anga anaitwa Gideon Gidori anatamani kuwa Mwanaanga siku moja na kutaka kupanga safari za kwenda kwenye Sayari zingine.



Mtoto huyu alinukuliwa akisema " siku nikikua natamani kuwa Mwanaanga na kwenda kuona Mwezi kupitia macho yangu yote mawili, aliongezea kwa kusema nitasoma kwa nguvu zote ili nifanikiwe.

Kwa sasa ana umri wa miaka 15 ni mwanafunzi toka Florida Air Academy ambapo wanapata nafasi ya kusoma masomo ya marubani na safari za kwenda kwenye Sayari mbalimbali.



Lakini Tanzania kiuwalisia hatuna wanaanga wowote walishawahi au wanaotaka kupanga safari kuhusu masuala ya Anga โœ๏ธ.

Je tunakwama wapi ? ๐Ÿƒโ€โ™‚๏ธ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ