Man kumpa
New Member
- Jun 3, 2024
- 3
- 4
Tujadili kidogo Hivi kweli unaweza kupata mwalimu Bora kupitia mtihani..? Tujifunze kwa Finland wanatumia scout system kutambua watu wanaofaa kuwa walimu kisha wanawekeza kila walichonacho kuwatengeneza.
Kwanza wameifanya kada ya ualimu kuwa the most respected kada in the country. Ni rahisi kuwa daktari na mwanasheria Finland kuliko kuwa mwalimu.
Pili, wanawalipa walimu mzigo unaoeleweka. Salary ya mwalimu Finland ni competitive na attractive kwa best brains. Tatu, scout team inafanya kazi ya kutambua watu wenye uwezo.
Baada ya kumaliza high school, vijana wanafanyiwa scouting kisha wale wenye passion na intellectual ability wanapewa nafasi ya kuomba kuwa walimu.
Unaweza kuwa na matokeo mazuri darasani lakini ukakosa nafasi ya kusomea ualimu kwa sababu ya kuonekana hauna passion. Usahili unafanyika kabla ya kusomea ualimu na sio baada.
Wakishachaguliwa, ndipo sasa unapelekwa kwenye vyuo vikuu na kupikwa ipasavyo katika content, pedagogy, na classroom research mpaka ngazi ya masters. Mwalimu akipata masters yake Ndio anaruhusiwa sasa kuanza kufundisha tena chini ya uangalizi wa walimu wakongwe.
Nne, elimu ya ualimu haijarahisishwa tu kiasi kwamba kila mtu anaweza kusoma. Finland wamefanya elimu ya ualimu kuwa complex na intellectually demanding sawa na profession nyingine Kama sheria na udaktari.
Hii inazipa zile best brains intellectual stimulation kiasi sawa na profession nyingine tu. Tano, mwalimu akiingia kazini anapewa imani yote.
Mwalimu wa Finland akisema huyu mwanafunzi ni kichwa maana yake ni kichwa, akisema ni mbovu maana yake ni mbovu.
Hakuna mtihani wa taifa, mkoa, au wilaya unaopima wanafunzi. Cumulative record ya mwalimu Ndio kila kitu. Jamii ya Finland inamheshimu mwalimu kuliko profession nyingine yoyote ile, hata tafiti zinaonesha mwalimu wa Finland ndio mtu anayeipenda na kufurahia kazi yake kuliko field nyingine yoyote ile.
Swali: Je, sisi tunataka kuvutia best brains kuingia kwenye ualimu kwa mazingira yapi...?