Kasomi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 11,030
- 20,391
Je, Tanzania Tutegemee Lockdown Tena?
Katika wimbi la tatu la CORONA Tanzani itakua chini ya Vizuizi vya kutoka nje? Hapo jibu ni hapana kwa mjibu wa majibu ya Waziri wa Afya Dkt. Dorothy Gwajima amesema kwamba Tanzania tusitegemee tena kuwepo kwa lockdown ( Vizuizi).
Hii ni kwasababu Nchi hata za ulaya ambazo zilipiga marufuku ya kutoka nje kwa wananchi bado tu CORONA iliendelea kuwasumbua na pia uchumi kuyumba.
Swala jingine ni kua Endapo tutakuwa chini ya Vizuizi uchumi wetu unaweza kuyumba na kusababisha Watu kukosa hata shilingi elfu moja ya matumizi.
Hivyo hatutawaiga wao wengine wana uchumi imara.