Uchumi na lockdown ni vitu vinakwenda pamoja kabisa[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Unautani na uchumi wa kati mkuu
Magufuli tu ndiyo aliweza kuwapinga mabeberu. Hawa wengine hakuna kitu.Hapo Ndugai atapinga labda SSH ndio aogope
Mimi nilikimbia umande kumbe nilitoroka vitu vizuri hivyo. Lakini hiyo kwa waandishi tunasema kwamba.Kichwa chako hapo juu ni tofauti kabisa na ulichoandika. waziri kasema hakuna lockdown halafu wewe kwa akili yako ya mtu mzima unauliza, "Tanzania tutegemee lockdown tena?" Unavyosema "tena", je ilikwishakuwepo lini? Walimu huko madarasani wana shida sana. Yaani ukiwa na wanafunzi 2 kama wewe darasani sijui inakuwaje!