Je, tatizo ni elimu au ni sisi wenyewe?

Je, tatizo ni elimu au ni sisi wenyewe?

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
33,679
Reaction score
49,841
Wengi tunaamini elimu ni ufunguo wa maisha, ikiwa na maana baada ya kuhitimu nitaajiriwa na maisha yataendelea.

Ingawa sehemu kubwa, elimu imekuwa si fumbuzi katika kutatua kero za jamii; na hii inapelekea wahitimu wengi nyakati hizi wakiangaika kutafuta ajira badala ya kutengeneza ajira.

Na ata walioajiriwa, leo hii wakifukuzwa kazi watashindwa kujisimamia wenyewe kwa sababu elimu waliyopata si kutengeneza ajira bali ni kuajiriwa; ndio maana fitina na vitimbwi haviishi huko makazini katika mazingira ya kila mmoja kulinda kibarua chake.

Wahitimu wengi wanaogopa sekta binafsi, kwa sababu kule lazima uzalishe ndio uweze kulinda kibarua chako. Lazima utetee uwepo wako kazini, kwa kuonyesha kiwango chako cha uzalishaji wa faida na si hasara.

Wapo walioamua kuweka vyeti vyao chini, na kuamua kupambana na upepo ulivyo ili waweze kuishi; kwa sababu wanaamini vyeti vyao havina maajabu ya kuthibitishia dunia wanaweza kuvumbua au kufanya kitu fulani ambacho wa darasa la saba hawezi kufanya.

Sasa ni kwa nini tutumie gharama kubwa kusomea kitu kisichokuwa na maajabu, au kitu kisicho badilisha fikra zetu kwa kujitengenezea ajira sisi wenyewe, badala ya kusubiri kuajiriwa?

Je tatizo ni elimu au ni sisi wenyewe?​
 
''Elimu ni kuboresha uwezo wa kufikiri ili kutatua changamoto za maisha kivyovyote vile''
 
Elimu ni ufunguo wa maisha, ni msemo wa WaTz, je waanzilishi au wavumbuzi wa elimu, wanamtazamo gani juu ya elimu? Kwa Tz, sidhani hata kama tunajua maana ya au umuhimu wa elimu, tumeipuuza mno!
 
Wengi tunaamini elimu ni ufunguo wa maisha, ikiwa na maana baada ya kuhitimu nitaajiriwa na maisha yataendelea.

Ingawa sehemu kubwa, elimu imekuwa si fumbuzi katika kutatua kero za jamii; na hii inapelekea wahitimu wengi nyakati hizi wakiangaika kutafuta ajira badala ya kutengeneza ajira.

Na ata walioajiriwa, leo hii wakifukuzwa kazi watashindwa kujisimamia wenyewe kwa sababu elimu waliyopata si kutengeneza ajira bali ni kuajiriwa; ndio maana fitina na vitimbwi haviishi huko makazini katika mazingira ya kila mmoja kulinda kibarua chake.

Wahitimu wengi wanaogopa sekta binafsi, kwa sababu kule lazima uzalishe ndio uweze kulinda kibarua chako. Lazima utetee uwepo wako kazini, kwa kuonyesha kiwango chako cha uzalishaji wa faida na si hasara.

Wapo walioamua kuweka vyeti vyao chini, na kuamua kupambana na upepo ulivyo ili waweze kuishi; kwa sababu wanaamini vyeti vyao havina maajabu ya kuthibitishia dunia wanaweza kuvumbua au kufanya kitu fulani ambacho wa darasa la saba hawezi kufanya.

Sasa ni kwa nini tutumie gharama kubwa kusomea kitu kisichokuwa na maajabu, au kitu kisicho badilisha fikra zetu kwa kujitengenezea ajira sisi wenyewe, badala ya kusubiri kuajiriwa?

Je tatizo ni elimu au ni sisi wenyewe?​
1) Watanganyika kwa asilimia kubwa tuna asili ya ujinga.

2) Shule zinasomesha ujinga.
 
Tatizo ni mfumo wa elimu unaosema Elimu ni kuwa na Maisha mazuri kwa kupata ajira serikalini.

Badala ya Elimu ni kuboresha uwezo wa kufikiri ili kutatua changamoto za maisha kivyovyote vile.
Hivi ni wapi mfumo wa elimu umesema hivyo?
 
Kama hukuwahi kuwa mwanafuni au kusoma shule. Wewe toka hapo ulipo nenda shule yoyote then uliza wanafunzi kuhusu ndoto za maisha yao. Hata walimu wanamasisha watoto ndoto hizohizo. The system itself encourages that.

Figure of speech.
 
Back
Top Bottom