ChawaWaMama
JF-Expert Member
- Jan 16, 2023
- 1,765
- 3,277
Great Thinkers,
Naomba kufahamu, je mamlaka yetu nchini inaweza kusoma jumbe za whatsapp? Na je zinaweza pia soma texts za sms za kawaida kwenye simu za iPhone?
Asanteni.
Upo serious mkuu au unamtisha tu !?Iphone kitu gani mkuu,inakutana na geek inatulizwa na inapekuliwa kwa kutulia kabisa..
Asante sana. Nilikuwa na hizo hisia. Nadhani issue za privacy kwa bongo huko mna tabu sanaWhatsapp hawawezi soma msg wala kusikiliza calls yoyote!
Kwenye msg na calls za kawaida wanaweza soma na kusikiliza kwa sababu zinapitia kwa mtoa huduma (tigo,voda, airtel nk)
DR HAYA LAND naona unakuwa na tabia ka za ye34nbe tutawaloga mpotee ohhhhhGreat Thinkers,
Naomba kufahamu, je mamlaka yetu nchini inaweza kusoma jumbe za whatsapp? Na je zinaweza pia soma texts za sms za kawaida kwenye simu za iPhone?
Asanteni.
Why Mkuu? I never give deslike 😁DR HAYA LAND naona unakuwa na tabia ka za ye34nbe tutawaloga mpotee ohhhhh
Yes, wanaweza. Hiyo ni kazi rahisi kabisa hata wewe mtu binafsi unaweza kuifanya. Siku hizi teknolojia imekua Sana, Spyware za kufanyia kazi hiyo zipo nyingi Sana, na zinapatikana kwa urahisi kwa gharama nafuu Sana.Great Thinkers,
Naomba kufahamu, je mamlaka yetu nchini inaweza kusoma jumbe za whatsapp? Na je zinaweza pia soma texts za sms za kawaida kwenye simu za iPhone?
Asanteni.
Hujui WhatsAppWhatsappp??? Hakuna mtandao mbovu kama whatsapp kwa security
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 unaamini end to end encryption sio? CongratulationsHujui WhatsApp
NakaziaWhatsapp hawawezi soma msg wala kusikiliza calls yoyote!
Kwenye msg na calls za kawaida wanaweza soma na kusikiliza kwa sababu zinapitia kwa mtoa huduma (tigo,voda, airtel nk)