Je, TCRA wanayo nguvu ya kisheria kuwataka Clouds FM kurudisha vipindi?

Je, TCRA wanayo nguvu ya kisheria kuwataka Clouds FM kurudisha vipindi?

nyumbamungu

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2017
Posts
1,033
Reaction score
895
Nauliza kama Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) wanayo nguvu ya kisheria kuwataka Clouds FM kurudisha vipindi vyao? Au sheria inasemaje endapo chombo cha habari kwa matakwa yao kuamuwa kuondoa baadhi ya vipindi kwa wasikilizaji wao?
 
Hahaha waachiwe sisi wasikilizaji tunainjoi sana ktk kipindi hiki... natamani waendelee hivihvi.. sijawahi kuacha kulala sababu ya redio ila siku hizi lazima nisikilize hadi mwisho saa 7 huko..

Sio kwamba wameviondoa ni kwa wiki hii tu.. Wanaadhimisha mambo yao.
 
Hahaha waachiwe sisi wasikilizaji tunainjoi sana ktk kipindi hiki... natamani waendelee hivihvi.. sijawahi kuacha kulala sababu ya redio ila siku hizi lazima nisikilize hadi mwisho saa 7 huko..

Sio kwamba wameviondoa ni kwa wiki hii tu. Wanaadhimisha mambo yao.

Juzi nilisikiliza kipindi cha usiku, noma sana. Mbwiga ushauri wake wa mapenzi ilikuwa burdani.

Anakwambia, piga chini huyo.

Hata jana kina Mchomvu wamefanya poa sana usiku.
 
List ya wa Mjengoni na sifa zao, Kujitazama kila mara kwenye Kioo (Sebastian Maganga ) Habari zisizotibitishwa aka 'fiksi' (James Tupatupa), (Freddy), (Dj Elly), na (Jose Mara) wenye kufahamu kila mada unayozungumza (Askofu TZA), (Daud wa Kota)
 
Yeah,mfano leseni yao inawataka nini hasa? Leseni za tv zile za FTA kuna vipindi lazima viwepo mfano taarifa ya habari,vipindi vya watoto,vipindi vya elimu mfano km ITV hivi,hata radio zinaweza banwa ukikiuka.
Nauliza kama Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) wanayo nguvu ya kisheria kuwataka Clouds FM kurudisha vipindi vyao? Au sheria inasemaje endapo chombo cha habari kwa matakwa yao kuamuwa kuondoa baadhi ya vipindi kwa wasikilizaji wao?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom