nyumbamungu
JF-Expert Member
- Mar 3, 2017
- 1,033
- 895
Hahaha waachiwe sisi wasikilizaji tunainjoi sana ktk kipindi hiki... natamani waendelee hivihvi.. sijawahi kuacha kulala sababu ya redio ila siku hizi lazima nisikilize hadi mwisho saa 7 huko..
Sio kwamba wameviondoa ni kwa wiki hii tu. Wanaadhimisha mambo yao.
Mchomvu na mbwiga wanafurahisha sana hawa majamaa... hahahaha Mchomvu bange sanaJuzi nilisikiliza kipindi cha usiku, noma sana. Mbwiga ushauri wake wa mapenzi ilikuwa burdani.
Anakwambia, piga chini huyo.
Hata jana kina Mchomvu wamefanya poa sana usiku.
Mchomvu na mbwiga wanafurahisha sana hawa majamaa... hahahaha mchomvu bange sana
Walitisha sana.. nawako saivi liveMchomvu jana alikuwa powa sana, aliwaachia uwanja wenzake, yeye akawa anachombeza tu.
Kuna baadhi ya watangazaji hawapo kwenye list za mijengo ...
Nauliza kama Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) wanayo nguvu ya kisheria kuwataka Clouds FM kurudisha vipindi vyao? Au sheria inasemaje endapo chombo cha habari kwa matakwa yao kuamuwa kuondoa baadhi ya vipindi kwa wasikilizaji wao?
Kwa kipi cha maana wafanyacho kuliko wengine? Au radio za burudani funguka nijue kipi wanawezea zaidi.Hahaha! mimi wamenifanya gari yangu imestuck kwenye clouds tu, hawa jamaa ni creative hatari. hizi radio nyingine kuwafikia mawingu wafanye kazi za ziada sana.
Sijaona mbadala wa vipindi vyao, Napenda vipindi vyao vina segments nyingi ambazo zinaleta flavour tofauti.Kwa kipi cha maana wafanyacho kuliko wengine? Au radio za burudani funguka nijue kipi wanawezea zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app