kifimbocheza_
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 1,119
- 1,095
Hari ni ngumu maji shingoni....Waambie wataje hata hilo jina la nyimbo SEDUCE kama hata wanakumbuka
vyombo vya habari uchwara vyenyewe nao vinaona aibu sasa maana wamepigaaaaaaa ili kuipa kiki aaaahh wapiiii,kwishnei
Hahahaaaa jipe moyo wakati inachoma kama pasi.....mda siyo mrefu mnaenda kuabika na ukeshaji wenu wa youtube.bado mnahangaika na views si tulishawasahau mbonaa[emoji38]
Angalia utofauti wa viewz ndo utajua nani anatishaAngalia youtube number one trending song in tz ndo utajua nani pumzi imekata
Siasa mchezo mchafu.....bora tuhangaike na kina kiba na mondPray for Lissu
Kamwambie mke wakePray for Lissu
unajielewa ww!! kwani ngoma yenu inaviews ngapii na ya King ina ngap kama unajibu tulia....Hahahaaaa jipe moyo wakati inachoma kama pasi.....mda siyo mrefu mnaenda kuabika na ukeshaji wenu wa youtube.
Kusoma adi kukesha ni kukosa kujiamin....
Sent using Jamii Forums mobile app
Alikiba ndo ana views nyingi...still number one trending in tz....so alikiba anatisha,unalingine lolote ndugu