Je, team Kiba mmechoka kukesha youtube

Mkuu watu wakusomba ili waje barabarani kumlaki simba asiye na meno??? Niliyaona mkuu yale mazingaombwe ,sharti lilikuwa ili shoo ifanyike lazima msombe watu wajae barabarani....teheeee teheeee teheeee
HAHHAHAAA LAZIMA MJUE KUTOFAUTISHA
 
Hamuoni aibu wanamuziki 4 wote na mawigi yenu bado mnapambana na mtu mmoja


!
!
Ukigawanya hizo views kwa kila msanii katika [HASHTAG]#zilipendwa[/HASHTAG] ni kama kila mmoja ana views milioni moja tu. Zitalingana kama kutakuwa na views milioni ishirini
 
chibu konyo maamae sjui kwanini hajajiunga VEVO kama wasanii wenzake wakimataifa huko mambele
 
Ningependa kuuliza,, hivi wale wa2 wapo busy kbsa front line kwenye hizi teams zenu cjui mond na kiba huwa wanalipwa au n vepevepe....maana naonaga wa2 wapo radh kutoana povu ad kununiana kisa teams, afu wenzao wanapiga pesa, wanakula b@t@ na kuwatolea mi2c followers wao, mara vpichu kunuka mara nn.....naomben kujua kama kuna malipo nam nijiunge na team mojawapo!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…