Je, teknolojia ya vikaragosi inaweza kutufundisha historia yetu?

Je, teknolojia ya vikaragosi inaweza kutufundisha historia yetu?

Malundi2020

New Member
Joined
Sep 8, 2020
Posts
1
Reaction score
0
Nimekutana na hii video nikajiuliza hili swali:

Je, tunaweza kuandika na kufundisha historia yetu kwa kutumia teknologia ya vikaragosi?

 
Anza kwanza kwa kuandika, achana na historia ya Mashariki ya kati na magharibi. Kisha ndio ifuate kupitia vikaragosi.
 
Animation ingetumika kufundishia masomo ya sayansi , kama biology kwenye mfumo wa chakula . Hii ingekuwa ni sawa na kujifunza kwa vitendo
 
Back
Top Bottom