Je, teknolojia ya vikaragosi inaweza kutufundisha historia yetu?

Anza kwanza kwa kuandika, achana na historia ya Mashariki ya kati na magharibi. Kisha ndio ifuate kupitia vikaragosi.
 
Animation ingetumika kufundishia masomo ya sayansi , kama biology kwenye mfumo wa chakula . Hii ingekuwa ni sawa na kujifunza kwa vitendo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…