T TumainiEl JF-Expert Member Joined Jan 13, 2010 Posts 6,782 Reaction score 12,716 Jul 2, 2023 #1 Idara ya matangazo ya ITV hawana budi kufuwatilia kwa umakini kwanini wakati wa taarifa ya Habari au matangazo muhimu channel yao inakuwa inakatika katika tunakuwa hatuwapati live je ni hujuma ndani kwa ndani au tatizo la mitambo yao. Nawasilisha
Idara ya matangazo ya ITV hawana budi kufuwatilia kwa umakini kwanini wakati wa taarifa ya Habari au matangazo muhimu channel yao inakuwa inakatika katika tunakuwa hatuwapati live je ni hujuma ndani kwa ndani au tatizo la mitambo yao. Nawasilisha
bhakamu JF-Expert Member Joined Sep 6, 2016 Posts 813 Reaction score 787 Jul 2, 2023 #2 Hakika walifanyie utatuzi!
N ngawia JF-Expert Member Joined Feb 11, 2014 Posts 770 Reaction score 794 Jul 2, 2023 #3 Nimekata mti ulio karibu na Dish nikijua sababu
Sirdirashy JF-Expert Member Joined Jan 26, 2014 Posts 3,243 Reaction score 3,047 Jul 2, 2023 #4 Hivi bado mnaangalia ITV nyie itakuwa na wahenga
monopoly inc JF-Expert Member Joined Dec 20, 2016 Posts 5,256 Reaction score 11,377 Jul 2, 2023 #5 Sirdirashy said: Hivi bado mnaangalia ITV nyie itakuwa na wahenga Click to expand... We endelea kuangalia akina Chino Wana man huko wasafini tv Mambo ya hardnews ACHA
Sirdirashy said: Hivi bado mnaangalia ITV nyie itakuwa na wahenga Click to expand... We endelea kuangalia akina Chino Wana man huko wasafini tv Mambo ya hardnews ACHA