Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
soka letu kivyetuvyetu (azam tv)Naona madai haya yanazidi kupata nguvu, baada ya kuona taarifa ya Hassan Dalali kumtaka mwenyekiti Mangungu ayaweke pamoja makundi yaliyojitokeza wakati wa uchaguzi uliokwisha hivi karibuni.
Mpira wetu una mambo mengi sana ya ajabu ajabu, huu haufai kufananishwa na mpira wa nchi zilizoendelea kama Ulaya na Marekani, mara nyingi mpira wa kibongo una mambo yake kibongo bongo.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wasiwasi wangu tukiendelea hivyo tutazidi kutoka kabisa nje ya mada husika, na kuharibu mantiki ya kuanzishwa huu uzi, lakini sio kukufunga mdomo.unanifunga mdomo huo ni udikteta.
mimi nipo ndani ya mada.
Sio jambo geni, hapa kinachonifanya nihisi kitu ni sababu ya tabia zetu za kiswahili, hizi tunazo tu, hakuna sababu ya kujitoa akili kwa kujiona sisi wazungu wakati figisu za mpira wetu sote tunazifahamu.Timu kufungwa kwako ni jambo geni ?
Nimeshakupa sababu hapo juu, mpira wetu sio kama wa ulaya, unachofanya wewe ni kutumia akili/mawazo ya ulaya kuhukumu mpira wetu, hapo unakosea, mpira wetu na yanayotokea yahukumiwe kivyetu, sijui unanielewa dogo?Kuna uhusiano gani ya uchaguzi na timu kufanya vibaya?
Kwani viongozi wapya wamefanya badiliko lolote kiasi cha kuathiri performance ya timu?
Akili zipo sawa siku zote, ndio maana mnafundishwa masomo ya sheria kila mara[emoji1787][emoji1787]Tumuulize msimamizi wa kimataifa Manzoki, atakuwa na majibu.........tulipowaambia mbumbumbu mmedharauliwa sana hamkutuelewa naona saizi akili imewakaa sawa
Ndo ukae kwa kutulia, Mangungu ndio chaguo la wanasimba wengi kama hautaki nenda zako huko utopoloni Hatutaki washabiki maandazi kama weweMakundi yako mengi msimbazi na wengi hawamtaki mangungu hata yeye pia alipita kimafia kama 2020
Hii pointi ya soka letu kivyetu vyetu ndio nataka wengi waione na kuikubali, wasijifiche kwenye kivuli cha soka la uzunguni wakati mpira wetu na yaliyomo.hayafanani hata kidogo na kinachotokea uzunguni.soka letu kivyetuvyetu (azam tv)
simba waliingia kwenye mabadiliko kichwa kichwa wakitafuta furaha ya muda mfupi.
leo mambo yapo dhahiri hawajui waanzie wapi?
zipo wapo 20 bl za MO?
Haya mambo yakijadiliwa wengine wanaogopa, huu ukweli kama upo lazima ufanyiwe kazi ili uishe, hakuna sababu ya kujificha kiuoga.Makundi yako mengi msimbazi na wengi hawamtaki mangungu hata yeye pia alipita kimafia kama 2020
Suala sio kukomolewa mtu suala ni siasa zimetamalaki sana msimbaziHaya mambo yakijadiliwa wengine wanaogopa, huu ukweli kama upo lazima ufanyiwe kazi ili uishe, hakuna sababu ya kujificha kiuoga.
Kama Mangungu hapendwi lazima wajue huyo ndie alishinda wanachotakiwa kufanya sasa ni kumuunga mkono timu iwe moja, wanachofanya ni kuharibu kwa kudhani wanamkomoa Mangungu kumbe wanatuunganisha na wengine tusiohusika.
Tulia basi punga zezeNdo ukae kwa kutulia, Mangungu ndio chaguo la wanasimba wengi kama hautaki nenda zako huko utopoloni Hatutaki washabiki maandazi kama wewe
Hili la TAKUKURU sikuwahi kulisikia ..Tulia basi punga zeze
Wenye akili tumeiomba takukuru ifuatilie upya uchaguzi mkuu ulikuwa na maseke sana
Hapo kwenye kibaiskeli nimechekaaaaaSimba hakuna makundi. Ni kiwango funi cha wachezaji. Just imagine boko anapata nafasi 5 hafungi na Sakho sehem ya kutoa pasi ananyonga kibaiskeli.
Fuatilia sana thread za jenta kuna point nyingi anazimwaga kimasiharaHili la TAKUKURU sikuwahi kulisikia ..
Kwanini ushindi wa Mangungu uonekane kuwaudhi wengi, kwamba inaonekana hakuwa chaguo la mwekezaji, au wagombea wenzake?
Lakini kama wanachama walimpa ushindi kwa kura zilizopigwa na kuhesabiwa wazi, sioni sababu ya kuwa na kinyongo na ushindi wake ..
Hili la TAKUKURU ndio nimlisikia leo kwenye vyombo vya habari, pale Simba Sc kuna tatizo, watu wasijidanganye kuficha maradhi, kifo kitatuumbua ...Fuatilia sana thread za jenta kuna point nyingi anazimwaga kimasihara
Kwa ujinga wetu tunamkejili lakini ndio hali halisi yq simba kwa sasa
Tatizo lipo sana kwenye uongozi wa mangunguHili la TAKUKURU ndio nimlisikia leo kwenye vyombo vya habari, pale Simba Sc kuna tatizo, watu wasijidanganye kuficha maradhi, kifo kitatuumbua ...