Je, teuzi za sasa ndio chanzo cha matatizo ya nchi?

August

JF-Expert Member
Joined
Jun 18, 2007
Posts
9,327
Reaction score
5,206
Siku hizi kumekuwa na teuzi nyingi ambazo hazionyeshi, kuwa zimetokana na uwezo au weledi wa aliyeteuliwa. Chanzo kikuu kikiwa ni katiba inamruhusu mteuzi kufanya huo uteuzi, na matokeo yake tunaona kwamba mifumo ya utendaji na kauli za baadhi au wengi ya viongozi hao kuwa ni za magomvi na vitisho, badala ya kuwekeza katika mifumo ambayo itaendeleza.
 
Hizi post za wakuu wa mikoa na wilaya ilitakiwa watu waziombe kama wanavyoomba ajira zingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…