Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Ukiangalia jinsi matches hizi za mwanzo za Simba zilivyopanga unaona kabisa zilipilangwa kimkakati ili kuwapa urahisi wa ushindi na kuwapunguzia pressure kwa mashabiki na wanachama wao.
Haiwezekani match ya kwanza na Tabora wamecheza huku Tabora ukiwa haina wachezaji wake wote muhimu wa kigeni wa kikosi cha kwanza,match ya pili tena watacheza na Fountain Gate nayo mpaka leo hii haijakamilisha usajili.
Hili swala lingekuwa lipo upande wa Yanga ungesikia wachambuzi uchwara wanaponda na kusema hela za GSM zunaharibu ligi yetu.