Je, TFF walichelewesha kutoa ratiba ya ligi kuu ili kumbeba Simba?

Kwa thread hii hukuitendea haki akili yako I know you are better than this, unaibebesha lawama TFF kwa uzembe wa Tabora United, siyo sawa hata kidogo.
 
TFF wanakazi wasajilie timu wachezaji

Simba ,ishike nafasi ya TATU ,isemwe

Imepangiwa ratiba ,inasemwa
-inashiriki shirikisho bado itasemwa
 
Uzi wa pili huu wa malalamiko kutoka kwa Utopolo..TFF hii hii ilikuwepo wakati unachukua Ubingwa leo mnaiona haifai
Mbona mapema!?
 
Acha uongo, msemaji wa Tabora(bi Christina)kaweka wazi kabisa kwamba hakuna hata mchezaji mmoja mwenye tatizo la leseni. Kasema timu ilisajili 19, na 11 walicheza na 8 walikuwepo kwenye bench. Walichokicheza ndo uwezo wao, so msiwe muchknows.
 
ingekuwa ivyo, basi wasingelipangwa kuanza na yanga kwenye ngao
 
Ni vigumu sana kwa mbumbumbu kolowizard kuiona mbeleko ya tiefuefu! Utaonaje mbeleko ilhali wewe ndo unabebwa? Hata VAR tutaona watapindisha ili kuhakikisha simba inapata ushindi zake za kimagushi za magoli ya offside ili tu ibebe kombe mwaka huu maana kwa marefa kina Sasii mambo tayari yako safi!!

Vipigo, tuzo na makombe ya Yanga vinawakosesha kabisa usingizi tff kazi yao kuhangaika na mipango ya nje ya uwanja ili kuubeba mzigo usiobebeka!

Simba hii mbovu ni kama ManU alipoondoka Ferguson kuna kitu hakiko sawa hadi leo na haijulikani ni nini. Watapambana sana na magumashi ya ratiba na kuhonga marefa ila kombe litabaki home kwetu utopoloni.

Dawa yetu uto ni ile ile , kunoa kisu na kumchinja mnyama Simba ndani nje na kuchukua points zetu 6 na kuchukua points 6 za Azam. Kazi kwisha!!

Viongozi wetu uto hakikisheni Simba hapati droo au ushindi mechi zote mbili za ligi otherwise kombe hatutalipata kwa fitna za simba na tff, wekeni motisha kubwa vunjeni benki kulipa wachezaji mwaka huu tuwapige makolo ndani nje 7x2=14! Msijesema baadae hatukuwashtua!! Hawa jamaa hawatanii!!
 
Umesahau jinsi mwaka jana Azam ilivyocheza na Kitayose yenwe wachezaji tisa tu?
 
Tff ndiyo chanzo cha kuharibu ladha ya hii ligi, unazi wao kwa timu yao pendwa haufichiki🚮🚮
 
Alopaswa aanze na azam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…