Je Thomas Ulimwengu alikuwa overrated?

Je Thomas Ulimwengu alikuwa overrated?

Christopher Wallace

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2015
Posts
1,479
Reaction score
3,788
Ukiondoa majeraha yaliyomkumba siku za karibuni, nini kimemsibu straika huyu wa Kitanzania tuliyeaminishwa ana kipaji kikubwa kiasi cha kwamba angeweza kucheza klabu yoyote kubwa barani ulaya?
Mimi naamini Mbaraka Yusuph ana uwezo mkubwa kuliko Thomas Ulimwengu.

Ni wapi Thomas alipokosea? Au alikuzwa kuliko uwezo wake (overrated) ?
 
Alikosea kuondoka TP Mazembe

Alikuwa na haraka mno cjui alitaka afanane na Samata kwenda Ulaya..

Alikuwa ktk pick..angesubiri wala msimu 1 then angefanya chaguo sahihi wapi atue
 
Thomas Ulimwengu kosa alilo lifanya ni kuondoka TP Mazambe...! Wakati anaondoka kwa muono wangu mimi alikuwa bado haja jipanga ila akili yake ilikuwa iwaza kwenda kucheza soka nje Ya Afrika...!

Kwa mtazamo wangu Ulimwengu alitaka kujifananisha Na Samatta au kutaka kufikia mafànikio ya Samatta.. pale Mazambe alikuwa pia bado hana namba ya uwakika..MTU ALIYE MSHAURI HAKUWA SAHIHI KWENYE HILI...

Ishu sio kwamba THOMAS kashuka kiwango hilo sina uwakika nalo ila jamaa skjui kama anajitihada za kutaka kufika pale anapo taka yeye.. Kwa hapa Bongo Kichuya , Mzamiru, Mo ibrahim,Mwashiuya na Ajibu hawa ni mfano wa wachezaji ambao Thom ameachwa mbali sana na hao uwanjani
Thom yupo kwenye level ya huyo MBARAKA YUSUPH .....
 
Hizi dharau sasa Yaan Ulimwengu kaachwa kiuwezo na Kichuya anacheza hapa mchangani tuache utani wazee Ulimwengu majeraha tu ila jamaa yupo Fresh
 
Uwezo wa ulimwengu ni mdogo kama wa Geoffrey mwashiuya
Mwashiuya wakati anasajiliwa yanga alipewa promo ya nguvu mno tena akifananishwa na lunyamila, sasa kibembe kilikuja kuonekana alivyoanza kucheza mechi ....kumbe wa kawaida sana hana wonders zozote za kumfanya aonekane promising player kwa yanga yenyewe na nchi kwa ujumla
 
Thomas Ulimwengu kosa alilo lifanya ni kuondoka TP Mazambe...! Wakati anaondoka kwa muono wangu mimi alikuwa bado haja jipanga ila akili yake ilikuwa iwaza kwenda kucheza soka nje Ya Afrika...!

Kwa mtazamo wangu Ulimwengu alitaka kujifananisha Na Samatta au kutaka kufikia mafànikio ya Samatta.. pale Mazambe alikuwa pia bado hana namba ya uwakika..MTU ALIYE MSHAURI HAKUWA SAHIHI KWENYE HILI...

Ishu sio kwamba THOMAS kashuka kiwango hilo sina uwakika nalo ila jamaa skjui kama anajitihada za kutaka kufika pale anapo taka yeye.. Kwa hapa Bongo Kichuya , Mzamiru, Mo ibrahim,Mwashiuya na Ajibu hawa ni mfano wa wachezaji ambao Thom ameachwa mbali sana na hao uwanjani
Thom yupo kwenye level ya huyo MBARAKA YUSUPH .....
Tatizo lilikuwa ni umri! Tayari alikuwa ana miaka 23, angekaa mwaka mmoja ina maana tayari angekuwa na miaka 24 ...sasa kwa miaka hyo 24.timu gani ulaya ingemnunua??
 
Huyo nguvu nguvu ila sijawahi kumkubali ila namheshimu tu

Kwa nilivyomtizama stars mechi alizocheza yupo vzr kwenye nguvu nguvu tu purukushani ila footwork 0
 
Dah , kupotea kwenye soka ni issue nyepesi kuliko kuendelea kutamba
sio soka tu, fani/ujuzi au kipaji chochote kile.. Hujawah kusikia kazi si kuwa # 1 kazi nikulinda # 1
 
Back
Top Bottom