Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,479
- 3,788
Alikosea kuondoka TP MazembeUkiondoa majeraha yaliyomkumba siku za karibuni, nini kimemsibu straika huyu wa Kitanzania tuliyeaminishwa ana kipaji kikubwa kiasi cha kwamba angeweza kucheza klabu yoyote kubwa barani ulaya?
Mimi naamini Mbaraka Yusuph ana uwezo mkubwa kuliko Thomas Ulimwengu.
Ni wapi Thomas alipokosea? Au alikuzwa kuliko uwezo wake (overrated) ?
Uwezo wa ulimwengu ni mdogo kama wa Geoffrey mwashiuya[/QUOTE
Huyu Mwaishiuya alikuja kwa moto kweli
Thomas Ulimwengu kosa alilo lifanya ni kuondoka TP Mazambe...! Wakati anaondoka kwa muono wangu mimi alikuwa bado haja jipanga ila akili yake ilikuwa iwaza kwenda kucheza soka nje Ya Afrika...!
Kwa mtazamo wangu Ulimwengu alitaka kujifananisha Na Samatta au kutaka kufikia mafànikio ya Samatta.. pale Mazambe alikuwa pia bado hana namba ya uwakika..MTU ALIYE MSHAURI HAKUWA SAHIHI KWENYE HILI...
Ishu sio kwamba THOMAS kashuka kiwango hilo sina uwakika nalo ila jamaa skjui kama anajitihada za kutaka kufika pale anapo taka yeye.. Kwa hapa Bongo Kichuya , Mzamiru, Mo ibrahim,Mwashiuya na Ajibu hawa ni mfano wa wachezaji ambao Thom ameachwa mbali sana na hao uwanjani
Thom yupo kwenye level ya huyo MBARAKA YUSUPH .....
Mwashiuya wakati anasajiliwa yanga alipewa promo ya nguvu mno tena akifananishwa na lunyamila, sasa kibembe kilikuja kuonekana alivyoanza kucheza mechi ....kumbe wa kawaida sana hana wonders zozote za kumfanya aonekane promising player kwa yanga yenyewe na nchi kwa ujumlaUwezo wa ulimwengu ni mdogo kama wa Geoffrey mwashiuya
Tatizo lilikuwa ni umri! Tayari alikuwa ana miaka 23, angekaa mwaka mmoja ina maana tayari angekuwa na miaka 24 ...sasa kwa miaka hyo 24.timu gani ulaya ingemnunua??Thomas Ulimwengu kosa alilo lifanya ni kuondoka TP Mazambe...! Wakati anaondoka kwa muono wangu mimi alikuwa bado haja jipanga ila akili yake ilikuwa iwaza kwenda kucheza soka nje Ya Afrika...!
Kwa mtazamo wangu Ulimwengu alitaka kujifananisha Na Samatta au kutaka kufikia mafànikio ya Samatta.. pale Mazambe alikuwa pia bado hana namba ya uwakika..MTU ALIYE MSHAURI HAKUWA SAHIHI KWENYE HILI...
Ishu sio kwamba THOMAS kashuka kiwango hilo sina uwakika nalo ila jamaa skjui kama anajitihada za kutaka kufika pale anapo taka yeye.. Kwa hapa Bongo Kichuya , Mzamiru, Mo ibrahim,Mwashiuya na Ajibu hawa ni mfano wa wachezaji ambao Thom ameachwa mbali sana na hao uwanjani
Thom yupo kwenye level ya huyo MBARAKA YUSUPH .....
Alikosea kuondoka TP Mazembe
Alikuwa na haraka mno cjui alitaka afanane na Samata kwenda Ulaya..
Alikuwa ktk pick..angesubiri wala msimu 1 then angefanya chaguo sahihi wapi atue
sio soka tu, fani/ujuzi au kipaji chochote kile.. Hujawah kusikia kazi si kuwa # 1 kazi nikulinda # 1Dah , kupotea kwenye soka ni issue nyepesi kuliko kuendelea kutamba
Naunga mkono hoja..Zaidi ya nguvu hakuwa na kingine cha ziada kwenye mpira