Je Thomas Ulimwengu alikuwa overrated?

Kucheza tu timu kama Tp mazembe kwa mchezaji yoyote wa africa mashariki ni bonge ya cv...

kwa hapo tu inaonesha thomas mpira anaujua...

hao kina kichuya hakuna lolote.. wanakabana na beki za maji maji, mbao, stendi utd ndio maana mnawaona wanamzidi thomas....

kama wangekuwa wanaujua mpira wasingecheza timu za tanzania... nao wangeenda hata mazembe
 
Yanga mnazidi kumuudhi Kichuya,atawapiga goli la tik take kama Singida unt
 
Tatizo lilikuwa ni umri! Tayari alikuwa ana miaka 23, angekaa mwaka mmoja ina maana tayari angekuwa na miaka 24 ...sasa kwa miaka hyo 24.timu gani ulaya ingemnunua??
Yaani miaka 24huwezi nunuliwa ulaya!?we vp mkuu!?
 
Hahahahaha ss huyo Mbaraka yusuph mwenyewe kwa ss yuko timu ganii??
Thomas Ulimwengu ni majeraha tuu ndo yamemmalizaa ila kiuwezo alikua yuko vzr mnooo
 
Ulimwengu bado anasakata kabumbu ila naona ndoto za ulaya zimeyeyuka
 
Ulimwengu hana kipaji cha mpira... ila anapenda mpira na juhudi... nakubaliana na ww anajina kubwa kuliko uwezo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…