mzee wa busara
Senior Member
- Aug 13, 2011
- 181
- 86
Wana JF kuna tiles za kichina wenyewe wanaita grade 1 mtaani wanaziuza tsh 18000 kwa box la pic 12 za 40*40 na wale waChina wa GoodOne pale Kkoo wanauza tsh 16,000 kwa box.hazitelezi kama zile zingine za mchina,je ni nzuri/zinadumu?,bei yake naona iko poa sana,please kwa waliokwisha zitumia au wenye uelewa wa vitu hivi wanisaidie ili nami nipendezeshe nyumba yangu.