Je, Tiles hizi ni nzuri?

mzee wa busara

Senior Member
Joined
Aug 13, 2011
Posts
181
Reaction score
86
Wana JF kuna tiles za kichina wenyewe wanaita grade 1 mtaani wanaziuza tsh 18000 kwa box la pic 12 za 40*40 na wale waChina wa GoodOne pale Kkoo wanauza tsh 16,000 kwa box.hazitelezi kama zile zingine za mchina,je ni nzuri/zinadumu?,bei yake naona iko poa sana,please kwa waliokwisha zitumia au wenye uelewa wa vitu hivi wanisaidie ili nami nipendezeshe nyumba yangu.
 
Habari yako mzee wa busara,kwanza hongera kwa stage ya kufikia kuweka tiles,Ombi langu kwako ni kukuomba pindi utakapohitaji fundi wa umeme usisite kunijulisha,Pia nipo whatsapp 0718302132
 
Habari yako mzee wa busara,kwanza hongera kwa stage ya kufikia kuweka tiles,Ombi langu kwako ni kukuomba pindi utakapohitaji fundi wa umeme usisite kunijulisha,Pia nipo whatsapp 0718302132

huo mchongo ukitiki, niite na mimi nitakua kibarua wako kwa siku chache
 
Habari yako mzee wa busara,kwanza hongera kwa stage ya kufikia kuweka tiles,Ombi langu kwako ni kukuomba pindi utakapohitaji fundi wa umeme usisite kunijulisha,Pia nipo whatsapp 0718302132

Poa mkuu ntakucheki
 
yes, ni nzuri pia nilinunua kwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…