Je, tofali 2800 zinatosha kujengea nyumba ya vyumba 3 na kila kitu ndani?

Umenipa Elimu Bora SANA

ASANTE

Sent from my Moto E (4) using JamiiForums mobile app
 
Unaweza kuniunganisha nae mshikaji wako
 
za kuambiwa changanya na zako 🤣😂
 
Unatafuta uhalali au unatafuta market price?
Market price 10 to 50 Gs unapata michoro ya manispaa. Thats a fact, na inapitishwa.
Sasa kwanini mtu atoe milioni wakati utampa mchoro uleule?
Na wala hatoutumia?
Mi nakuelewa sana mkuu
 
naweza kupata mawasiliano yake mkuu? Nahitaji Ramani sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…