Tiba ya busha ni upasuaji, tiba ya matende sijawai sikia nachojua ipo kinga yake. Dalili za magonjwa yote ni uvimbe sehemu husika,kwenye busha korodani zitajaa maji na maumivu kiaisi na upande wa matende miguu itavimba na kuwa mizito.
Kuhusu mbu kuambikiza sina hakika japo nilisikia miaka 5 iliyopita.