BeNNy Mamba
Member
- Jun 21, 2016
- 75
- 66
Habarini wakuu,
Hivi kumtahiri mtoto akiwa mdogo kuna uwezekano wa kuufanya uume wake kuwa mdogo pindi atapokua?
Naomba kusaidiwa katika hilo