B BeNNy Mamba Member Joined Jun 21, 2016 Posts 75 Reaction score 66 Jun 28, 2016 #1 Habarini wakuu, Hivi kumtahiri mtoto akiwa mdogo kuna uwezekano wa kuufanya uume wake kuwa mdogo pindi atapokua? Naomba kusaidiwa katika hilo
Habarini wakuu, Hivi kumtahiri mtoto akiwa mdogo kuna uwezekano wa kuufanya uume wake kuwa mdogo pindi atapokua? Naomba kusaidiwa katika hilo