upupu
JF-Expert Member
- Apr 15, 2008
- 614
- 198
Wakuu naomba msaada,
Mimi hapa mjini ni mgeni nina wiki mbili tu nimekuta mengi mapya.
Moja linalonishangaza na kuniduwaza ni huu utaratibu wa kuchamba kwa kutumia toilet paper.
Je, hauna madhara yoyote kiafya?
Nashangaa sana, vyooni maji yapo ila ni ya kuflashia tu, hakuna mabomba kwa ajili ya kuchamba, wala hakuna makopo ya kuchotea maji, huu utaratibu ukoje.
Mimi nashindwa kuelewa.
Kwanini watu mjini hasa maofisini wanapenda toilet paper badala ya maji?
Mimi nikichamba na toilet paper siwi na amani, najihisi kunuka, naona kama natembea na kinyesi.
Nisaidieni jamani, ushamba mzigo.